Wewe ni mhuni tu, Igumbile haipo Iringa ipo ChatoBaraza la madiwani wa manispaa ya Iringa chini ya Chadema mmetuumiza sana kwa kuihamishia porini stendi kuu ya mabas
Wananchi wanateseka kwa kweli.
Niishie hapo
ccDC Kasesera, MB Msigwa, Kamanda Allen Kilevela wa Jf
Hahahaa...... Ilala iko Iringa na Dsm bwashee!Wewe ni mhuni tu, Igumbile haipo Iringa ipo Chato
Si starehe zako tu daladala zipo mpaka saa mbili usiku sasa kama utatoka dar saa tano ili ushuke igumbilo terminal uanze kuwalaumu madiwani walioamua kupanua mji utakua ni mufilisi kwa headKuamishwa stand ni jambo jema lakini inabidi gari zinazotoka dar ziwe zinakuja kushushia watu huku mjini mana kama mtu anakaa ilala au mwangata inabidi achukue tena tax apo tena anakuwa na mizigo hapo 20k inakatika
Ww hujui kama mabas yameruhusiwa kusafiri usiku muda ambao daladal hakunaSi starehe zako tu daladala zipo mpaka saa mbili usiku sasa kama utatoka dar saa tano ili ushuke igumbilo terminal uanze kuwalaumu madiwani walioamua kupanua mji utakua ni mufilisi kwa head
Sasa uliambiwa malalamiko hayo ulete hapa? Bongo bwana vitu vingine si mnaenda tu ofisini kwao kuuliza mpate majibuBaraza la madiwani wa manispaa ya Iringa chini ya Chadema mmetuumiza sana kwa kuihamishia porini stendi kuu ya mabas
Wananchi wanateseka kwa kweli.
Niishie hapo
ccDC Kasesera, MB Msigwa, Kamanda Allen Kilevela wa Jf
Acheni ujinga kama kwenda huko maporini ndio maendeleo basi jengeni access road au bypass iunge Kati ya barabara ya Dodoma na Tanzam sio kukomboa watu kwa kisingizio cha kupanua mjiMoja ya vitu vya kupongezwa kabisa ni pamoja na kuhamishia stand ya mabasi IGUMBILO,hii inaifanya manispaa ipanuke,fursa za kibiashara kuongezeka na hatimaye kuongeza mapato ya manispaa pamoja na serikali kwa ujumla.
Hii ndiyo faida ya kuwa na viongozi wenye maono,adha ni za muda mfupi tu,bqqdq yq hapo ni mwendo wa kufaidi tu!
Sio sawa na hii tabia ya kuanzisha miradi inaishia njiani na kuanza miradi mipya wakati tayari pesa zetu nyingi tumeziwekeza huko,mfano ujenzi wa bomba la gas kutoka Mtwara kuja Dar,tulitumia pesa lukuki za mkopo,tunaendelea kulipa lakini mradi umeshajifia!
Mbwiga huelewi umuhimu wa Jf weweSasa uliambiwa malalamiko hayo ulete hapa? Bongo bwana vitu vingine si mnaenda tu ofisini kwao kuuliza mpate majibu
Mbwiga magereza na madiwani wapi na wapi?!!Na magereza inahama tunasubiri uzi wako wako wa kijinga kuwalaumu madiwani
Nenda Dodoma,utajuta kujua walioshika nchi sasa hivi,kama nako ni CHADEMA,basi vyama vya siasa vinatutesa.Hapo tu ni ngazi ya udiwani wangeshika nchi watu wote tungeishi baharini.
Daaah😂😂😂😂Tangu lini unaishi iringa? Mnakula pesa za bure tu sasa kwa Uzi huu unakula buku 7 kweli?
Mbona leo sijakaona kale kamsemo kako ka "Development has no party"Baraza la madiwani wa manispaa ya Iringa chini ya Chadema mmetuumiza sana kwa kuihamishia porini stendi kuu ya mabas
Wananchi wanateseka kwa kweli.
Niishie hapo
ccDC Kasesera, MB Msigwa, Kamanda Allen Kilevela wa Jf
Umehamia lini Iringa tokea huko Lumumba?
Maendeleo hayana vyama mkuuMbona leo sijakaona kale kamsemo kako ka "Development has no party"