Madiwani wa Chadema Iringa kwanini mnatutesa wananchi kwa kuhamishia stendi kuu Igumbile nje ya manispaa?!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,897
141,833
Baraza la madiwani wa manispaa ya Iringa chini ya Chadema mmetuumiza sana kwa kuihamishia porini stendi kuu ya mabas

Wananchi wanateseka kwa kweli.
Niishie hapo

ccDC Kasesera, MB Msigwa, Kamanda Allen Kilevela wa Jf
 
Acha unafiki we kibwengu wa Lumumba
 
Baraza la madiwani wa manispaa ya Iringa chini ya Chadema mmetuumiza sana kwa kuihamishia porini stendi kuu ya mabas

Wananchi wanateseka kwa kweli.
Niishie hapo

ccDC Kasesera, MB Msigwa, Kamanda Allen Kilevela wa Jf
Siyo kweli,Mkuu wa mkoa ndo anajua hiyo habari ypte.Hata Meya alielezea vizuri kupitia Ebone Radio. Msitengeneze matatizo na kuwauzia wengine
 
Huwa nawaza kulaumu mara kwa mara, ninadhani tunakosea, tuwaze kwann ihamie huko porini? Serikali ina mpango wa kupanua maeneo tusilaumu. Angalia NZEGA, MWANZA, MOSHI, DAR, tusilaumu ni mipango ya serikali tuwe wepesi kukubali mabadiliko. TUNYUMBULIKE kutokana Na Hali.
 
Mkuu unapajua Igumbilo?
 
Back
Top Bottom