Madiwani na Mkiti wa Halmashauri ya Chato (CCM) wamekamatwa kwa tuhuma za uvuvi haramu.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Madiwani wa CCM na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chato (CCM) wamekamatwa katika Operesheni Sangara II, mwaka 2018, kwa tuhuma za kujihusisha na uvuvi haramu Ziwa Victoria. Waziri Mpina amesema wote wamekiri kosa, na sasa wataanzisha mahakama inayotembea ili kuwashtaki watuhumiwa.
 
Madiwani wa CCM na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chato (CCM) wamekamatwa katika Operesheni Sangara II, mwaka 2018, kwa tuhuma za kujihusisha na uvuvi haramu Ziwa Victoria. Waziri Mpina amesema wote wamekiri kosa, na sasa wataanzisha mahakama inayotembea ili kuwashtaki watuhumiwa. Swahili Times on Twitter
Duh haya
 
Kwakuwa wanafanana magwanda hakuna madhara yatakayo wakuta, ila wangekuwa ni wale wa kaki amini nawaambieni wangepata tabu sana.
 
Hao watapewa onyo tu,huwezi sikia hata harassment ya kodi,polisi Chatto
 
Hizo ndizo kazi zao za kila siku za uvuvi haramu. Yaani ukiwa CCM lazima uwe na roho ya uvuvi haramu
 
Back
Top Bottom