Bukanga
JF-Expert Member
- Dec 13, 2010
- 2,857
- 1,936
Waungwana,
Halmashauri ya jiji la Mbeya tangu kuanzishwa kwake ikiwa chini ya chama cha CCM ilikuwa ikitenga sh laki tano (500,000/=) kila mwezi kwa ajili ya suti za Mwanasheria wa halmashauri hiyo.
Makadirio ya bajeti ijayo kifungu hicho kiliwekwa tena, kama mnavyofahamu Mkurugenzi na Mkuu wa Wilaya ni makada wa CCM na watendaji wengine kama Mawakili wa halmashauri ni ma sycophant wa CCM na viongozi husika.
Walisahau kuwa Jiji la Mbeya lipo chini ya UKAWA/CHADEMA na Magufuli ni Rais wa nchi na ana sera ya anti - luxury expenditure, wakaleta kifungu hicho cha suti kila mwezi bahati nzuri kilifutwa hata kabla ya kuendelea kujadili mambo mengine.