Madiwani ileje wamsimamisha kazi mkurugenzi mtendaji halmashauri bi. Sylivia siriwa

baraka moze

Member
Apr 21, 2012
99
3
Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Ileje wamemsimamisha kazi Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Bi. Sylivia Siriwa kwa madai ya kuhusika na hujuma na ubadhirifu wa mali za halmashauri hiyo.
Na akaomba radhi mara kadhaa.
 
hizo radhi alizokuwa anaomba hazisaidii umma wa wana Ireje kwasasa: zaidi akubali matokeo ya kuvuna alichopanda.
 
Nawapa big up hawa madiwani wa Ileje kwa kuchukua hatua hiyo; nilitegemea madiwani wa Mbeya wangemkataa huyo DC waliyeletewa toka Hai kwani anarekodi ya RUSHWA na ubadhilifu na mtu wa majungu sana!!
 
Back
Top Bottom