Madiwani cdm na ccm wazichapa kavukavu katika kikao cha full council jiji la mbeya 29/11/2013

Mbugi

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
1,488
257
Katika sintofahamu inayopelekewa na siasa za kukosa uvumilivu ambayo ndiyo sifa pekee duniani kwa mwanasiasa kuvumiliana na kugombana kwa hoja iliingia doa na hatimae kikao kuvunjika baada ya madiwani wakiongozwa na wahemiwa kutoka mwakibete, ilemi, sinde, na nsalaga (danger coy cdm) na kwa upande wa pili kutoka kata ya mabatini, itagano nk (chale coy ccm). hoja ya msingi ikiwa ni kutaka kujua kiasi kilichotumika kwa ziara ya wajumbe (4)waliokwenda china kitu ambacho kilikuwa kikifukuta kwa mda mrefu na kupelekea barua kutawanywa mpaka kwa usalama wa taifa, mkuu wa mkoa nk kabla hata ya full council hiyo. la msingi wanambeya ni hoja inaweza kuwa na mshiko lakini to be objective kwanza watwambie je kulikuwa na umuhimu wa ziara hiyo? na kama hakukuwa na umuhimu je baraza liliidhinisha vipi ziara hiyo? na kama kulikuwa na umuhimu yawezekana vipi ukaona ni gharama?
 
fafanua kidogo ni akina nani walikwenda trip hiyo ?? na kwanini hawataki kusema ni kiasi gani kilitumiwa kwani pesa hizo ni za wananchi na si zao. madiwani wanayo haki ya ku question matumizi kwa niaba ya wananchi .
 
Siasa za kupigana za kishamba sana lakini pia hueleweki vizuri mimi nashindwa kujua nani kaanzisha ugomvi na hiyo ziara ya china imesababisha vipi wapigane.
 
Back
Top Bottom