Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Hivi bila upizani CCM itashindana na nani?
Watu wote wakiwa CCM nini kitatokea? Nchi itapata maendeleo makubwa kuliko sasa au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo!
Hivi bila upizani CCM itashindana na nani?
Watu wote wakiwa CCM nini kitatokea? Nchi itapata maendeleo makubwa kuliko sasa au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi CDM ni viongozi au wapiga kura wanaowachagua hao viongozi?Na vado kuna watu wanaendelea kunibishia hadi wanatoka mishipa!!
We Mzee unaona huko kuhama kwao ndio tunakaribia uchumi wa kati sio!?Na vado kuna watu wanaendelea kunibishia hadi wanatoka mishipa!!
Kuna uwezekano kuna siri kubwa sana ambayo hawa wanao hama wanaoneshwa ukweli, mfano labda kuna usaliti mkubwa sana kwa nchi unaendelea nyuma ya pazia na jamaa wakioneshwa ushahidi usio kuwa na shaka wanaona afadhali waende CCM kuliko kuuza nchi.
Hizi ni hisia tu, huenda sipo sahihi.
Haiingii akilini kufikiria viongozi wengi namna hii wa upinzani hasa CDM wanaenda CCM kwa kuongwa pesa.
tena wanatoka kila kona ya nchi , hadi jimboni kwa Mwenyekiti wa CDM.
Ukinitukana mimi haisaidii kuzuia wapinzani kwenda CCM, wala haiwarudishi upinzani waliokwisha hama.Yaani wewe ndiyo kima kabisa, kununuliwa kwa wapinzani siyo lazima wapewe pesa mkononi, tatizo vichwa vyenu vipo na kamasi tu ubongo ulishatolewa kitambo! Hao wapinzani hawana tofauti na mijusi wa kijani pale lumumba. Kama hakuna tume huru uchaguzi hakuna, wagombea wote wa ccm watapita bila kupingwa yaani kwa 99.99%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka hisia pembeni, shauri nini kifanyike.Bila Polisi Usalama na Jeshi hakuna mwanachama mtiifu wa CCM. Ukisikia CCM ni hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema wangethubutu kufanya hivyo wangekiona chamoto.Katibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.
Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa huo ni ugeni mkubwa tangu aanze kupokea Wageni.
Aidha, amesema ameongea na Madiwani hao na kumueleza kwanini wanafanya uamuzi huo wakati huo na amefurahi sana maana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi.
Kuukataa ukweli sio kushughulikia na kulimaliza tatizo. Lazima watu wa CHADEMA sasa wanze kuukubali ukweli mchungu kwamba kuna tatizo ndani ya chama na kutafuta suluhisho la kudumu.
Kuna uwezekano kuna siri kubwa sana ambayo hawa wanao hama wanaoneshwa ukweli, mfano labda kuna usaliti mkubwa sana kwa nchi unaendelea nyuma ya pazia na jamaa wakioneshwa ushahidi usio kuwa na shaka wanaona afadhali waende CCM kuliko kuuza nchi.
Hizi ni hisia tu, huenda sipo sahihi.
Haiingii akilini kufikiria viongozi wengi namna hii wa upinzani hasa CDM wanaenda CCM kwa kuongwa pesa.
tena wanatoka kila kona ya nchi , hadi jimboni kwa Mwenyekiti wa CDM.
Weka hisia pembeni, shauri nini kifanyike.
Acha kujiliwaza na hoja nyepesi, unaamini kabisa wale walishikiwa mtutu wa bunduki na kushurutishwa na vyombo vya ulinzi na usalama ulivyo vituhumu?
Au walipigwa mabomu ya machozi?
sana furaha kubwa maana huko wanacheza tu hamna lolote wanafanya na dj waoNa wewe unafurahi
hlo haliwezekani maana pamoja na kuangalia chama pia tunamuangalia na mtu anaye gombea huwezi kupenda chama hata akiwekwa mtu ambaye unajua kabisa hawezi kuwatumikia tumpe tu kura haiwezekaniKatika demokrasia yetu wabunge na madiwani wanachaguliwa kupitia vyama vya siasa. Kwa hiyo, wananchi wanakipigia kura chama ambacho huyo anayegombea anakiwakilisha. Ndio maana mbunge /diwani anapopeza sifa ya kuwa mbunge pale uhusiano wake na chama anachowakilisha unapovurugika. Sasa ni kwa nini ufanyike uchaguzi mpya pale ambapo mbunge/diwani anapotoka kwenye chama alichowakilisha ilhali chama bado lipo? Si ingekuwa haki zaidi, chama kipewe fursa ya kupendekeza mwakilishi mwingine ambae ataendeleza sera ambazo ziliwafanya wananchi wakipigie kura? Hii ingeruhusu wale ambao wanapoteza imani na chama chao kuondoka bila kuleta athari yeyote kwa wananchi. Aidha, gharama za kurudia chaguzi zingepungua sana. Na hii ifanyike hata kwa wale wawakilishi ambao wanapoteza uhai au afya zao zitawazuia kuendelea na uwakilishi. Au hata wakipoteza sifa kwa kifungo.
Amandla.....