Madiwan&Wazee Mbeya Waibana Serikali kuhusu Ugonjwa wa Mwakyembe.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Wazee Maarufu na Madiwan Mbeya kyela Waibana Serikali kuhusu ugonjwa Wa Mwakyembe.
Wahoji serikali iwambie Dr.Mwakyembe anaumwa.
Source.Nipashe
 
Hao wazee nao kweli hamnazo kesi ya nyani wana mpelekea ngedere??

Mi naona kama wanabusara na kutaka kujua ukweli kamili wamwite mwakyembe na kumuuliza.
 
Nao ubaguzi wao utawatafuna mpaka mfupa wa mwisho: kwanini wahoji ugonjwa wa Mwakyembe tu?!, mwandosya je?!, Hilda Ngoye je?!, na mwenyekiti wa CCM wa mkoa wao amabye yuko mahututi kitandani kwa miezi kadhaa je?, na yule binti marehemu wa Kyela je?!
 
Wazee Maarufu na Madiwan Mbeya kyela Waibana Serikali kuhusu ugonjwa Wa Mwakyembe.
Wahoji serikali iwambie Dr.Mwakyembe anaumwa.
Source.Nipashe

Mbona kila kitu lawama ni serikali? Huyu Mh. Mwakyembe yupo hai na ni jamaa yao nikimaanisha wanaongea lugha moja kwanini wasipate majibu kutoka kwake mwenyewe?
 
Serikali ibebe jukumu hilo.
Alipoumwa mkapa mguu enzi hizo walisema.
Alipoumwa kawawa enzi hizo walisema.
Bibi titi mohameid pia.
Why mwakyembe?
I support madiwani na wazee,
 
Mbona kila kitu lawama ni serikali? Huyu Mh. Mwakyembe yupo hai na ni jamaa yao nikimaanisha wanaongea lugha moja kwanini wasipate majibu kutoka kwake mwenyewe?

kwani wewe unaogopa nini?nadhani rais kama kiongozi mkuu wa serikali akitoa neno itapendeza sana!its just a matter of time!
 
Jamani madiwani wa Kyela wako concerned na Mbunge wao sasa hayo ya akina Mwandosya,Ngoye na uyo Mula yanatoka wapi?
Hao nao wana watu wao wa kuwaulizia no necessary watu wa Kyela!
 
Back
Top Bottom