Madini ya Urani kuchimbwa Lindi - Prof Muhongo

The Fixer

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
1,365
583
Wana JF,

Waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo amesema serikali itaendelea na uchimbaji wa madini ya Urani huko Namtumbo mkoani Lindi

Pascal Daures mtaalamu kutoka European Unions amesema atahakikisha usalama unapatikana

My take;
Pamoja na uchimbaji wa madini haya mbalimbali mbona Tanzania bado maskini ?

The Fixer,

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
We umejichanganya toka lin namtumbo ipo lindi?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
namtumbo lindi?may be hii ramani mpya inayolalamikiwa na wamalawi
 
Namtumbo nao wasije andamana kiwanda cha Nuclear kijengwe Namtumbo!
 
Back
Top Bottom