Madini ya ulanga yanahitajika

twende kazi

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
1,520
459
Ulanga mweusi tinted.Kwa kuanzia zinahitajika kama tani 5 hivi.Kama unazo nicheki pm.Bei maelewano.
 
Uko wapi uletewe

Mkuu hiyo ilitangazwa siku nyingi sana zilizopita.

Ila, iwapo hiyo biashara unayo,
Au kama unayo MADINI yoyote mengine,

Nitafute nikutafutie Masoko.

Piga: +255-714-59-15-48.
[HASHTAG]#dalalitz[/HASHTAG] (GeneralBroker)
 
Mkuu hiyo ilitangazwa siku nyingi sana zilizopita.

Ila, iwapo hiyo biashara unayo,
Au kama unayo MADINI yoyote mengine,

Nitafute nikutafutie Masoko.

Piga: +255-714-59-15-48.
[HASHTAG]#dalalitz[/HASHTAG] (GeneralBroker)
Habari. Nina mawe yenye rangi ya kijani. Naomba uniambie ni mawe gani na km unaweza nitafutia soko tuone tunatokaje. Naambatanisha na picha
d39ebb0bed4b9ef5db527832c37f653b.jpg
57b59c98f8a707f1934e9941aee2e7c8.jpg
bceff4c1e74d463fdcc304588c615759.jpg
a05d9573be6e9568db0493c4512f611a.jpg
 
Back
Top Bottom