Madini tuliyonayo ni faida ya nani?

BRAVO 2 ZERO

JF-Expert Member
Jul 16, 2013
1,174
1,196
Hii nchi ni ya ajabu sana, vyuo vyetu vinazalisha wataalamu kibao mfano
Mining engineers, Mineral processing engineers, Chemical processing engineers, Auditors, Mechanical engineeers na wengine wengi ambao wanaweza kuendesha sector ya madini hapa nchini, lakini cha ajabu ukienda migodini huko unakuta wanaofanya kazi ni watu wa mataifa ya nje na huku watanzania wasomi wanaishia kuranda randa mitaani.

Hivi haya madini sasa faida yake nini kwa watanzania maana kama ushuru hatuupati sawa sawa, vijana ajira hawapati.Sasa yafaa nini kufundisha hizi kozi vyuoni si bora zifutwe tu! Maana hazina faida.

Hii nchi imekaribia kuwa chungu kama sifongo,hivi nyie viongozi mliopo madarakani hamlioni hilo?
 
Back
Top Bottom