Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Wanabodi
Kama ilivyo shauku kubwa wakati wa kusubiria a big match ya football, ndivyo hali ilivyo leo jinsi hii ripoti ya pili ambayo ndio determinants , final na conclusive ya mustakabali mchanga wa makinikia ya madini, jee tunaruhusiwa kufanya betting ya kilichopo kwenye ripoti hiyo?.
Kama tunaweza ku bet kwenye mechi za mpira, why not bet kwenye ripoti kama hii? .
Mimi betting yangu ni kama ifuatavyo
1. Ni kweli tumekuwa tukiibiwa japo sio kwa kiwango kile cha kamati ya kwanza.
2. Tupigiane hesabu ya chote walichotuibia tangu mwanzo kisha wakubali kulipa ndipo biashara iendelee kwa viwango vipya or they can go to hell!.
3. Acacia wakigoma kung'ang'ania an independent verifying, then tunavunja mikataba na mwenye makosa ni aliye breach for dishonestly.
4. Hatutasitisha mikataba katokana na sheria mbovu bali tutafanya reviews na kuboresha kufikia viwango vya a win win situation, asiyekubali review, can just pack and go!.
5. Pia tuta reviews zile PSA zote za gesi asili ili mambo kama haya na kuibiwa kwenye madini yetu yasijirudie.
Na maliza na swali, Kama Ikukutikana ni kweli Walikuwa Wanatuibia Madini Yetu, Should "They Go To Hell" or Tuwasamehe Tuu Kama Tulivyowahi Kuyasamehe Yale Majizi ya EPA?..
Paskali