Madini Report Betting: Wanaotuibia Madini Yetu, "They Can Go To Hell" or Tuwasamehe Kama EPA?..

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
36,310
2,000
Wanabodi
Kama ilivyo shauku kubwa wakati wa kusubiria a big match ya football, ndivyo hali ilivyo leo jinsi hii ripoti ya pili ambayo ndio determinants , final na conclusive ya mustakabali mchanga wa makinikia ya madini, jee tunaruhusiwa kufanya betting ya kilichopo kwenye ripoti hiyo?.

Kama tunaweza ku bet kwenye mechi za mpira, why not bet kwenye ripoti kama hii? .

Mimi betting yangu ni kama ifuatavyo
1. Ni kweli tumekuwa tukiibiwa japo sio kwa kiwango kile cha kamati ya kwanza.

2. Tupigiane hesabu ya chote walichotuibia tangu mwanzo kisha wakubali kulipa ndipo biashara iendelee kwa viwango vipya or they can go to hell!.

3. Acacia wakigoma kung'ang'ania an independent verifying, then tunavunja mikataba na mwenye makosa ni aliye breach for dishonestly.

4. Hatutasitisha mikataba katokana na sheria mbovu bali tutafanya reviews na kuboresha kufikia viwango vya a win win situation, asiyekubali review, can just pack and go!.

5. Pia tuta reviews zile PSA zote za gesi asili ili mambo kama haya na kuibiwa kwenye madini yetu yasijirudie.

Na maliza na swali, Kama Ikukutikana ni kweli Walikuwa Wanatuibia Madini Yetu, Should "They Go To Hell" or Tuwasamehe Tuu Kama Tulivyowahi Kuyasamehe Yale Majizi ya EPA?..

Paskali
 
Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
1,769
2,000
Ujue hii sinema nadhani ni kutofautiana kwa maslahi binafsi kati ya pande 2
mengine yote yanayoendelea ni kiini macho
swali...
hao wazungu waliwezaje kuingia tu vuuuuuupp nchini na kuanza kuiba madini?
Jessca peke yake ndo atakaeamini hii "vita"
 
INGENJA

JF-Expert Member
Sep 11, 2012
5,004
2,000
kaka Paskali naomba na mimi unisaidie kujibu hili swali jepesi,
Je hawa viongozi walioshiriki kwa namna moja au nyingine kutupisha hii njia ya mbigiri,tutatengua kinga walizo nazo ilitupate kuwashitaki au tufanye kama Afrika kusini baada ya kupata uhuru mwaka 1994 walipounda tume walioipa jina la "Truth and Reconciliation Commission" ili tuyamalize haya kiuungwa na kiutanzania zaidi????
 
myoyambendi

JF-Expert Member
Sep 13, 2013
92,677
2,000
Ujue hii sinema nadhani ni kutofautiana kwa maslahi binafsi kati ya pande 2
mengine yote yanayoendelea ni kiini macho
swali...
hao wazungu waliwezaje kuingia tu vuuuuuupp nchini na kuanza kuiba madini?
Jessca peke yake ndo atakaeamini hii "vita"
wewe!!
 
chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,314
2,000
Wanabodi
Kama ilivyo shauku kubwa wakati wa kusubiria a big match ya football, ndivyo hali ilivyo leo jinsi hii ripoti ya pili ambayo ndio determinants , final na conclusive ya mustakabali mchanga wa makinikia ya madini, jee tunaruhusiwa kufanya betting ya kilichopo kwenye ripoti hiyo?.

Kama tunaweza ku bet kwenye mechi za mpira, why not bet kwenye ripoti kama hii? .

Mimi betting yangu ni kama ifuatavyo
1. Ni kweli tumekuwa tukiibiwa japo sio kwa kiwango kile cha kamati ya kwanza.

2. Tupigiane hesabu ya chote walichotuibia tangu mwanzo kisha wakubali kulipa ndipo biashara iendelee kwa viwango vipya or they can go to hell!.

3. Acacia wakigoma kung'ang'ania an independent verifying, then tunavunja mikataba na mwenye makosa ni aliye breach for dishonestly.

4. Hatutasitisha mikataba katokana na sheria mbovu bali tutafanya reviews na kuboresha kufikia viwango vya a win win situation, asiyekubali review, can just pack and go!.

5. Pia tuta reviews zile PSA zote za gesi asili ili mambo kama haya na kuibiwa kwenye madini yetu yasijirudie.

Na maliza na swali, Kama Ikukutikana ni kweli Walikuwa Wanatuibia Madini Yetu, Should "They Go To Hell" or Tuwasamehe Tuu Kama Tulivyowahi Kuyasamehe Yale Majizi ya EPA?..

Paskali
Nani atakuwa ame breach for dishonestly at this juncture? Kwa uthibitisho upi?
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
10,788

mkuu Paskali. sisi wengine ni professionals kwenye anga hizi - speculations tunawaacha journalists na politicians.
 
Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
47,682
2,000
Wanabodi
Kama ilivyo shauku kubwa wakati wa kusubiria a big match ya football, ndivyo hali ilivyo leo jinsi hii ripoti ya pili ambayo ndio determinants , final na conclusive ya mustakabali mchanga wa makinikia ya madini, jee tunaruhusiwa kufanya betting ya kilichopo kwenye ripoti hiyo?.

Kama tunaweza ku bet kwenye mechi za mpira, why not bet kwenye ripoti kama hii? .

Mimi betting yangu ni kama ifuatavyo
1. Ni kweli tumekuwa tukiibiwa japo sio kwa kiwango kile cha kamati ya kwanza.

2. Tupigiane hesabu ya chote walichotuibia tangu mwanzo kisha wakubali kulipa ndipo biashara iendelee kwa viwango vipya or they can go to hell!.

3. Acacia wakigoma kung'ang'ania an independent verifying, then tunavunja mikataba na mwenye makosa ni aliye breach for dishonestly.

4. Hatutasitisha mikataba katokana na sheria mbovu bali tutafanya reviews na kuboresha kufikia viwango vya a win win situation, asiyekubali review, can just pack and go!.

5. Pia tuta reviews zile PSA zote za gesi asili ili mambo kama haya na kuibiwa kwenye madini yetu yasijirudie.

Na maliza na swali, Kama Ikukutikana ni kweli Walikuwa Wanatuibia Madini Yetu, Should "They Go To Hell" or Tuwasamehe Tuu Kama Tulivyowahi Kuyasamehe Yale Majizi ya EPA?..

Paskali
Hata wakiondoka, wameshawapiga mpunga wa kutosha na mmeachiwa mashimo ya kufukia.
Should they care?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom