Madingi kwa nyumba ndogo kazi kweli kweli..............

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,125
228456_221426354649825_2094070604_n.jpg
 
Mkuu.@marejesho Mashangingi kama hayo hayana mapenzi kazi zao ni kuwaibia wazee kama hao unaona alivyomuita eti baby kizee kama huyo anamuita baby wake ahhh kasheshe kweli Shangingi analichuna buzi wake...............
 
Inaelekea wazee kama hawa,ujana wao hawakuutumi vizuri! "Eti niite lile jina wanalotumia vijana"!!
 
mkuu.@marejesho mashangingi kama hayo hayana mapenzi kazi zao ni kuwaibia wazee kama hao unaona alivyomuita eti baby kizee kama huyo anamuita baby wake ahhh kasheshe kweli shangingi analichuna buzi wake...............

kwani si kataka mwenyewe? Mbona kamshurutisha kumuita ivo?
 
kwani si kataka mwenyewe? Mbona kamshurutisha kumuita ivo?
Bibie kamkubali babu yake utafikiri vijana hawapo?kasheshe kweli Wanawake wa siku hizi kwa kupenda pesa wamezidi hawaangalia huyu Dume yupo size kama nani katika familia yetu Wanacho angalia wanawake wa siku hizi ni Pesa ili mradi mkono ujae pesa gfsonwin Teacher hujambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
Wako wengi sana hawa wazee wenye tabia hizi,na kila siku wanaongezeka sijui wanafuata mkumbo au ndio tunaishi bila vipaumbele,wakipata extra money wanawekeza kwa nyumba ndogo!kwa nn hatujifunzi kwa wenzetu wahindi,na baadhi ya wachaga?
 
Bibie kamkubali babu yake utafikiri vijana hawapo?kasheshe kweli Wanawake wa siku hizi kwa kupenda pesa wamezidi hawaangalia huyu Dume yupo size kama nani katika familia yetu Wanacho angalia wanawake wa siku hizi ni Pesa ili mradi mkono ujae pesa gfsonwin Teacher hujambo lakini?

mie sio sijambo, nauguza mwanangu.

turudi upande wa pili kwa nini huyu babu hakwenda kwa vibibi wenzie? eti anataka ngozi isovutika na nyama zilizojishindilia pia anataka mtu ambaye damu inachemka sasa binti afanyeje? babu kaangalia home bibi km zimesoa sana na hivi yuko kwenye menopouse hamu ya kurushwa maji hakuna tena sasa babuaa ndo kwanza easting inadai wafikiri afanyeje?

uzuri wa zee kama hili zake ni kagoli kamoja tena ambako hata hakakutoi jasho, manake akiingia tu ule etelez na kaujoto keshamwaga sasa kijana hadi umkune kazi ipo utakatika wewe hadi shuka lilowane lol! kwa raha zake binti hachakai wala kuzeeka huyu manake hana kazi kubwa anayofanya hapo.
 
Teacher gfsonwin nimekupata pole kwa mwanao anauguwa kitu gani?umempeleka Hospitali lakini?
 
Last edited by a moderator:
ahsante sana mkuu MziziMkavu, mwanangu alifanyiwa upasuaji wa mguu pale MOI ilikuwa ni ya femur but sasa niko nae home namuuguza home anaendelea vizuri sana.
Teacher gfsonwin ata recover very soon inshallah ondosha wasiwasi sasa wwe unamuuguza je baba yake yupo wapi mtoto wako*Je wewe huendi shule kufundisha?
 
Last edited by a moderator:
mie sio sijambo, nauguza mwanangu.turudi upande wa pili kwa nini huyu babu hakwenda kwa vibibi wenzie? eti anataka ngozi isovutika na nyama zilizojishindilia pia anataka mtu ambaye damu inachemka sasa binti afanyeje? babu kaangalia home bibi km zimesoa sana na hivi yuko kwenye menopouse hamu ya kurushwa maji hakuna tena sasa babuaa ndo kwanza easting inadai wafikiri afanyeje?uzuri wa zee kama hili zake ni kagoli kamoja tena ambako hata hakakutoi jasho, manake akiingia tu ule etelez na kaujoto keshamwaga sasa kijana hadi umkune kazi ipo utakatika wewe hadi shuka lilowane lol! kwa raha zake binti hachakai wala kuzeeka huyu manake hana kazi kubwa anayofanya hapo.
Pole kwa kuuguza vp anaendeleaje? Wazee hawapendi vibibi kwa sababu sio vitamu utamu wote umeisha, vibibi navyo vinapenda viserengeti boy
 
Pole kwa kuuguza vp anaendeleaje? Wazee hawapendi vibibi kwa sababu sio vitamu utamu wote umeisha, vibibi navyo vinapenda viserengeti boy

asante sana na kid anaendelea fresh sana tu.

sasa kama mzee alianza na mzee mwenzie kwanini amkimbie uzeeni? wamalize wote. manke hata hao vizeekwa vijana wanaishia kuchunwa tu lkn si kwamba wanafanya kazi nzuri.
 
Back
Top Bottom