madilikeni dada zetu kwa maslahi ya taifa la kesho!!!

pageup

Senior Member
Oct 12, 2012
156
59
tukitambua umuhimu wa mama na majukumu mazito aliyokuwa nayo baada ya kuzaa watoto kwa kuwaandalia taratibu nzuri za kimalezi ili angalau taifa la kesho liwe ni la kuchapa kazi zaidi kuliko kuwa la kingono zaidi,hali imekuwa tofauti kwa wakina mama wengi......
cheche.jpg
huyo mwanamke ni mhudumu wa bar na hukubali kunyanyasika kiasi hicho kwa kisingizio cha kutafuta pesa,na kwa mtazamo wa haraka huyo ni mama na ana watoto,watoto wake watajiskiaje siku wakiona hiyo picture ya mama yao??!!
starehe1.jpg
hili tukio la huyo dada kuleweshwa mpaka kuanika nyeti hadharani limetokea site za dar,kwa namna hii kweli tutafika??!!
wakati huo huo chunguza wanaume wote waliopo sehemu ya tukio wamevaa nguo zinazowastiri mwanzo mwisho!!,
kinachowafanya dada zetu mukubali kuianika miili yenu hadharani ni nini??!!
wazungu wanapotusanifu waafrica kuwa ni wapenda ngono na si watu wachapa kazi au wabunifu huwa wanamaanisha nini??!!
Stupid girl.jpg
hii yote inatokana na kisingizio cha ugumu wa maisha na kuzisaka pesa,lakini ukweli ni kwamba wengi hufanya kazi hiyo kama ni njia moja wapo ya kupata hela kibwege na za fasta bila kuumiza kichwa saana na bila kutoa juhudi kubwa yoyote ile zaidi ya kupanua mapaja na kuyabana!!au kugomelewa msumari wa tigo!!
badilikeni dada zetu kwa maslahi ya taifa la kesho!!!
 
Na siku hizi wapo wengi sana wanaojiuza yani mpaka wasomi wa vyuo vikuu huwezi amini na wengi wao utawakuta sehemu za starehe kiingereza kingi mwisho wa siku...............................
 
Back
Top Bottom