Madikteta hufa kizembe, mfano mzuri ni Jenerali Sani Abacha

Hata kayafa alikufa kizembe sana.. Wembe ndani ya asali
giphy.gif
Aiseeèe
 
Madikteta huwa wanakufa kizembe sana

Mlikuwa mnasifia viongozi kutosafiri? Mnamfahamu Jenerali Sani ABACHA?

Yeye sio tu kwamba alikuwa hapendi kusafiri bali katika kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kukanyaga Lagos...

Alikuwaga ka-chill zake Aso Rock Abuja, anatembeza kipondo kwa upinzani na kujitajirisha

Wakati wa uchaguzi vyama 5 vya "upinzani" viliitisha mikutano mikuu na kumpitisha kama mgombea wao, kama ilivyofanya TLP ya Mrema mwaka jana.

June 8, 1998, Mungu aliingilia kati suala la wanaijeria, jamaa alifia kwenye "mzigo" wa wanawake wawili wa kihindi.

View attachment 1830589
Umenikumbusha Martin Meredith.

Nilikisoma hiki kitabu kilivyotoka.

Kizuri sana.
 
Madikteta huwa wanakufa kizembe sana

Mlikuwa mnasifia viongozi kutosafiri? Mnamfahamu Jenerali Sani ABACHA?

Yeye sio tu kwamba alikuwa hapendi kusafiri bali katika kipindi chote cha utawala wake hakuwahi kukanyaga Lagos...

Alikuwaga ka-chill zake Aso Rock Abuja, anatembeza kipondo kwa upinzani na kujitajirisha

Wakati wa uchaguzi vyama 5 vya "upinzani" viliitisha mikutano mikuu na kumpitisha kama mgombea wao, kama ilivyofanya TLP ya Mrema mwaka jana.

June 8, 1998, Mungu aliingilia kati suala la wanaijeria, jamaa alifia kwenye "mzigo" wa wanawake wawili wa kihindi.

View attachment 1830589

tuwekeeni pdf kama inawezekna
 
Back
Top Bottom