MADIBA's Legacy and the Politics of Retaliation in Tanzania

Kifyatu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,382
3,196
Tumeona kuwa baada ya kuteswa na kufungwa kwa miaka 27, Mandela alipotoka jela aliwasamehe wabaya wake na kwa kupitia usuluhisho (Truth & Reconciliation) taifa jipya la South Africa lilizaliwa.

Kwa maoni yangu: Hiki kitendo cha kuwasamehe mahasimu wake ndio kinachofanya dunia nzima leo kumsujudia MADIBA.

Weusi wengi wa Africa kusini bado wamo katika hali ya umasikini lakini watatatua matatizo yao kwenye nchi tulivu na sio ya KUCHINJANA kama MADIBA asingekuwa na busara.

Swali:
Serikali na vyama vya kisiasa hapa Tanzania (najua pia Africa/dunia nzima) vina hulka ya kulipiziana visasi. Mahasimu wa wakuu wa hivi vyama (na pengine mahasimu wa wakuu wa serikali) mara nyingi wanashughulikiwa with an IRON hand - NO MERCY.

What should we expect to be the LEGACY of these so-called democratic and inclusive institution leaders?


ONLY scholarly (non-partisan) analyses please. THANKS.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom