Madhehebu yaungana na Kakobe kusali Jumamosi: Ni PCT, TEC na CCT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhehebu yaungana na Kakobe kusali Jumamosi: Ni PCT, TEC na CCT

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mhabarishaji, Oct 5, 2010.

 1. M

  Mhabarishaji JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 1,001
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Siku 28 kabla ya Watanzania kupiga kura ya kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani, madhehebu kadhaa ya Kikristo nchini yameungana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe, kutofanya Ibada Jumapili ya Oktoba 31, badala yake Ibada zutafanyika Jumamosi Oktoba 30.

  Akiongea na Jibu la Maisha, katika mahojiano maalumu kwa njia ya simu Jumatano, mchana, Katibu Mkuu wa Baraza la Makanisa ya Kipentekoste Tanzania (PCT) David Mwasota, alisema kuwa wao walikwisha ijadili katika foramu ya Kikristo iliyofanyika Julai mwaka huu.

  "Tumekubaliana na makanisa yote ya Kikristo pasipo kujali itikadi zetu za dini kuwa siku ya Jumamosi ndio itakuwa siku ya ibada badala ya Jumapili, ili watu wetu washiriki bila kipingamizi chochote katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumapili Oktoba 31 mwaka 2010", alisema Katibu Mkuu wa PCT, Askofu David Mwasota.

  CHANZO: Gazeti Jibu la Maisha - Oktoba 3-9, 2010
   
 2. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Safi sana
   
 3. W

  We know next JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Waswahili wanasema Sasa Ngoma inogile.....ni kwa mara ya kwanza Wakristo wanaiweka Jumapili rehani kwa sababu ya kupiga kura. Naanza kuona dalili za msemo wa mchungaji wa Arusha aliyesema Uchaguzi mwaka huu utashangaza, tayari umesha anza kutoa cheche zake. Kwa watu makini, kwa kweli watu wamechoka jamani. Naomba mie niwatumi ujumbe watu watatu tu muhimu, kwa mara nyingine tena, Mwamunyange, Othman na Mwema, watu wamechoka, hicho ndicho kibarua chao sasa!
   
 4. h

  hagonga Senior Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hili linitia moyo kweli, nafikiri tukubaliane kuwa wakristo kutoshiriki uchaguzi ni kutotimiza wajibu kama raia na wanamkosea Mungu mwani kura ni uratibu wa Kimungu katika kupata viongozi wa nchi.
   
 5. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  mi, sipati picha hiyo foleni ya oct 31, itakavokua kubwa, coz kila m2 ameamka, si ka miaka ile , KWELI HUU NI MWAKA WA MABADILIKO
   
 6. RAJ PATEL JR

  RAJ PATEL JR JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hare Krishna:A S 13:
   
 7. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Ni kwamba walikwisha angalia options zote kama NEC walivyokataa kubadilisha tarehe ya uchaguzi, Kakobe amekuwa tu wa kwanza kuwataarifu waumini wake!
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,938
  Likes Received: 2,088
  Trophy Points: 280
  Hii ni sehemu ya utekelezaji wa waraka/ nyaraka zilizotolewa!!!!!!!
   
 9. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,768
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Hakuna waraka wala nyaraka, tunachaguza KIOGOZI BORA na si BORA KIONGOZI
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Well, sio mbaya sana.
   
 11. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  Umejiunga leo! umekuja na post hii! umetumwa nini na kakobe..?!
   
 12. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua hii itasaidia sana bse kuna mtu anaweza enda church akiludi atakuambia amechoka hivyo kura hapigi.
  May the lord intervene in this years election so that we can elect someone who is concerned on why Tz is poor
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kipi kinakupa shida yeye kujiunga leo au topic aliyoipost? :focus:
   
 14. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kosa lake ni nini? lol, na mtapagawa sana mwaka huu.
   
 15. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Hapa ni kusikia na kutenda, fullstop!
   
 16. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  jamani slaa anakubalika jamani
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,560
  Likes Received: 18,285
  Trophy Points: 280
  Njiwa, mbona unataka kutisha wageni badala ya kuwakaribisha?.
  Mhabarishaji, karibu sana ukumbini, asante kwa ujio wako na taarifa yako, uwe unatuletea taarifa zaidi toka huko "Jibu la Maisha", sio kila siku quote lazima zitoke magazeti yale yale.
  Usiogope kwa makaribisgho utakayopata humu toka kwa baadhi ya memba, kwa vile wale wapenda yaleyale wanamuona kama Kakobe kamwaga sumu itakayopelekea mgombea wao kutoka patupu hivyo lazima utabezwa, vumilia ndio ukomavu huo.
  Asante.
  Pasco.
   
 18. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Usitishe watu wenye akili zao wewe!
  Ngoja basi tumpe ile maneno kama itakupendeza!

  SHERIA NA KANUNI ZA JAMII FORUMS

  Tafadhali jiepushe na mambo yafuatayo:

  1. Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.

  2. Kuleta katika JAMII FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.

  3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi, uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa JAMII FORUMS na Watanzania wote kwa ujumla.

  4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani kwa nia ya kuchafuana.

  5. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.

  6. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.

  7. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.

  8. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa.

  Hatua za kinidhamu zinaweza kuchukuliwa dhidi ya yeyote yule atakayeshindwa kuzingatia maelezo hayo hapo juu.

  Other Rules to be noted:

  1 - Flaming, Bashing, and Trolling:

  Hate posts and personal attacks will not be tolerated on the boards. Treat others on these message boards as you would expect them to treat you. Posting topics specifically designed to provoke a negative response from someone (aka trolling) is also asked to be avoided.

  2 - Profanity:
  Profanity is not tolerated in the board, some words will be censored, also there is to be no name calling, doing so will give you a warning, and then a ban if you continue.

  3 - Spam:
  Purposely spamming a message board with senseless, vacuous, or empty messages to gain a higher post count, or just to annoy others is HIGHLY frowned upon! Commercial spamming and advertising are just as unwelcome unless it is done in the special designed area. Promoting your site is only allowed with permission of the site owners. Bumping old threads is allowed in the request forums, but needless bumps in other forums will be classed as spam.

  4 - Email & Private Message Spam:
  If the members are using the private message facility to spam the others with pointless, unsolicited mail they will be banned. If anyone receives one of these messages, please contact an admin immediately.

  5 - Piracy, and Warez:
  We do not mind discussions about piracy or warez, as long as they are just that...discussions. Linking or giving information about any site that distributes illegal software, or warez, seeking help to circumvent any copyright laws, or encouraging software or media piracy grounds for an immediate ban.

  6 - Impersonating Other Users / Accessing Another User Account:
  You may not impersonate another board member or create an account specifically for the purpose of provoking other users. Also, accessing or using someone else's account or attempting to access another poster's account is strictly prohibited. You will be banned.

  7 - Off-Topic Posts:
  There is no major punishment for off-topic posters. But lets be honest, it drives us all mad!! If you have something to say but it really has nothing to do with the current thread you are in, please open a new thread for it. Otherwise it will just be deleted and won't solve anything at all.

  8 - Circumventing a Ban:
  If you log onto the forums and receive a message that you have been banned, please submit an unban request and wait for a staff member to get in touch with you. You may NOT re register under a new name if the software lets you. But, if you try to sign up again and we caught you, then it will become a permanent IP Ban. We do NOT send out notices that you have been banned.

  9 - Nudity / Porn:
  Please remember that this board is a PUBLIC forum. There are 12 year olds here just as there are 50 year olds. Nudity and porn is prohibited for obvious reasons.

  10 - Signatures & Avatars:
  We do not have any specific set of rules regarding signatures. However, we do ask you that it will not be offensive to others and the length should be within reason. If you desire to have a custom avatar, it must be 100x100 pixels or less. No adult, drug related or racist content please.

  11. Do not post any copyrighted material unless the copyright is owned by you, except for brief credited excerpts to illustrate a point;

  12. You will not post what is commonly called spam, which includes but is not limited to such things as advertisements, chain letters, pyramid schemes, solicitations, or promoting a particular cause or organization. Exceptions may be granted for worthy (in our sole opinion) causes if you obtain prior permission from us;

  13. We reserve the right to ban any user temporarily or permanently, refuse posting from screen names we find offensive, edit or delete any post, limit postings on any topic, and shut down any topic altogether, for any reason, or no reason, without explanation or warning.

  14. You are solely responsible for the content of your messages. We cannot verify content and thus accept no responsibility for it, nor do we vouch for the accuracy, completeness, or utility, of any message or the qualifications of any user.

  15. Do not post private messages at JamiiForums or elsewhere without the express permission of the sender of the Private Message.

  16. Do not engage in internet stalking. This includes, but is not limited to, following a JamiiForums member from site to site, or from thread to thread within this site; taking posts from JamiiForums in order to attack a poster at another site; and attempting to defame or discredit JamiiForums members on other sites for views they may have expressed at JamiiForums.

  17 - Questionable Content:
  Since we can't have a rule to cover everything, this is the rule to, well, cover everything. These are public boards, so act like you would if you were in a public place. These issues are left to the discretion of the individual moderators, but may include any material that is knowingly false and or defamatory, misleading, inaccurate, abusive, vulgar, hateful, harassing, obscene, profane, sexually oriented, threatening, invasive of a person's privacy, that otherwise violates any law, or that encourages conduct constituting a criminal offense.
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  [​IMG] CHANGIA CHADEMA!

  Michango ya Chadema Updates: Wiki ya Kwanza ya Harambee: 11,569,000...

  Wito wa kuchangia mabadiliko umeanza vizuri kwani wiki ya kwanza ile iliyoishia tarehe 27 Septemba kiasi kilichochangwa na Watanzania kwa njia mbalimbali ni shilingi milioni 11,569,000! Kwa kiwango kidogo kidogo ambacho kilikuwa kimependekezwa ni wazi kuwa watu wengi zaidi wamechangia. Nilitoa wito kuwa Chadema watupe updates za kila wiki ili tujue tunachangia kwa kiasi gani. Tuko kwenye challenge ya kufikia Shilingi milioni 100! Mchanganuo kidogo:

  NMB/CRDB
  11,000,000
  MPESA 758 223344
  402,000
  MPESA 764 776673
  152,000
  ZAP 0789 555333
  15,000


  Natumaini wiki hii tutaendelea tena kufanya hivyo na once again natoa changamoto march my amount or beat it. Wiki hii nitatoa Shilingi 100,000 kuchangia mabadiliko tunayoyataka.

  Unaniuliza kwanini? Kwa sababu naitikia wito huu:
   
 20. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  Amen!
   
Loading...