Madhara za USA mvua za upepo funzo kwetu waigaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara za USA mvua za upepo funzo kwetu waigaji

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Mar 4, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Wazungu wamezoea mara zote vitu vya bei nafuu kama nyumba zao nyingi hata zinazofikia 5-6 residential stories hujengwa kwa mbao tu, na inapotokea hali ya hewa kama upeopo wa kisulisuli hakuna kinachosalimika na inabaki kuokota mbao zilizozagaa ardhini. Tofauti na kwetu Afrika mapaa ndiyo yanayoezuliwa na kubaki kugharimia paa jipya kwa vile kuta hujengwa mathubuti kwa matofali au blocks. Nisingeshauri kuiga mtindo huu wa ujenzi wa nyumba kwa vile ni gharama nafuu lakini yatokeapo mabadiliko ya hali ya hewa na kusababisha dhoruba kali ni maafa tu. Picha hizi ni matukio ya Marekani siki hii.
  [​IMG]

  Residents work to clear storm damage after tornadoes moved through the area in Henryville, Indiana March 3, 2012. A series of tornadoes tore through the U.S. midsection on Friday, killing at least 10 people in the hard-hit state of Indiana, and blowing apart homes and flattening buildings across the region. REUTERS/ John Sommers II (UNITED STATES
  [​IMG]

  Family and friends begin the task of clean-up after a tornado left a path of destruction in the Harvest area on the same path that an F5 tornado left destruction on April 27, 2011 on Saturday, March 3, 2012, in Athens, Ala. Emergency crews desperately searched for survivors Saturday after a violent wave of Midwest and Southern storms flattened some rural communities and left behind a trail of destruction: shredded homes, downed power lines and streets littered with tossed cars.

  [​IMG]

  Student Madeline Evans walks past a destroyed school bus after a tornado devastated the town of Henryville, Indiana, March 3, 2012. Rescue teams and residents combed through storm-wracked towns to assess damage on Saturday from a chain of tornadoes that cut a 1,000-mile swath of destruction from the Midwest to the Gulf of Mexico, as the death toll crept up to at least 39 people.


   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Wanaokoteza masalia yanayoweza kutumika tena watakapopata makazi mapya ya muda baada ya nyumba zao kuharibiwa na tornado
   
 3. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Hawa jamaa wanatuambia tusikate miti ili tutunze mazingira na kutunza hewa ukaa. Vipi wao mbona wanatumia mbao nyingi kwenye ujenzi wa nyumba zao?
   
 4. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  hapa kwetu ukiacha electronic devices au hela kwenye nyumba ya mbao unategemea nini?
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  KuwaraHISSHIA VIBAKA UPATIKANAJI WA HIZO ZANA ADIMU
   
 6. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,445
  Likes Received: 4,729
  Trophy Points: 280
  Ni USA ya Arusha?
   
 7. Thinker96

  Thinker96 JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Picha ya kwanza ile kijalala fulan kwa nch ya janga la kitaifa a.k.a. jk
   
Loading...