Madhara yatokanayo na unywaji wa Red bull

Nimekumisije? Hebu calkuleti afu unipe majawabu

Hunifikii mimi mke mwe .....yaani hapa am sure eid itakuwa njema vile nimeuona mwandiko wako mbaya lol..........mie mzima sana mpendwa .......nipigie basi tuongee kwa kirefu !
 
Hunifikii mimi mke mwe .....yaani hapa am sure eid itakuwa njema vile nimeuona mwandiko wako mbaya lol..........mie mzima sana mpendwa .......nipigie basi tuongee kwa kirefu !

Nakupigia darling, nakoroga samaki honeyyyyy....
yaani acha, nna umbea kama kapu mbili! Kesho pilau kwa wifi, nahisi atajifungua leo uthiku.
ngoja niongee na MziziMkavu kwanza
 
Nakupigia darling, nakoroga samaki honeyyyyy....
yaani acha, nna umbea kama kapu mbili! Kesho pilau kwa wifi, nahisi atajifungua leo uthiku.
ngoja niongee na MziziMkavu kwanza

Hahahahaha......lol.........nausubiri huo umbea kwa hamu..........vipi shemeji Paw atakubali tutoke kesho kweli?
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kutuhabarisha mkuu, ila tuliowengi naona tumekwisha umia maana wengine ndo kinywaji chetu,
 
Back
Top Bottom