Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,272
Chips zege original yake ni Latin America, tena kule zege linakatiwa hoho njano, nyukendu na kijani. Ukiliona tu mate yanatoka.Hahahahaha ila chips zege si zao la wanadaresalaam mkuu msitusizingizie wa mkoani bhana