Madhara yatokanayo na ulaji chips

Hahahahaha ila chips zege si zao la wanadaresalaam mkuu msitusizingizie wa mkoani bhana
Chips zege original yake ni Latin America, tena kule zege linakatiwa hoho njano, nyukendu na kijani. Ukiliona tu mate yanatoka.


1545724909265.jpeg
 
Chips zege original yake ni Latin America, tena kule zege linakatiwa hoho njano, nyukendu na kijani. Ukiliona tu mate yanatoka.


View attachment 976725
Wabongo nyie ndo mabingwa wa kucopy kwanza..... Sasa mmebadilisha had tamaduni zenu mwisho mnaanza kulialia na mabwana zenu kazi wanashindwa tuuu mwisho mnakimbilia mkoani.... Mbadilike sasa chips ni za madem kwanza mwanaume halisi hawezi kushindia chips na juice ya miwa mkuu...
 
Chips zina mafuta. Na mojawapo ya sehemu mafuta(fats) zinapohifadhiwa ni around the heart.. Pia kutoka m.a..t..a.k.o Ukila saana inasababisha m.a.t.a.k.o kuwa makubwa.. So kama huwezi kuacha kabisa bac kula atleast once per week! Mimi binafc chips kula ni nadra saana.. I can say once per month!
Kwa hiyo kaka BASHITE hadi maji yake ya kunywa yanawekwa chips mayai?
 
Back
Top Bottom