Madhara yatokanayo na ulaji chips

Asilimia kubwa ya Watanzania wapo vijijini na hiyo chips hawaijui kwahiyo hakiwezi kuwa cha Taifa.
 
Lakini wanaume wa Dar nani kawaroga?? Wanaume wa mikoani tunakula ugali maharage nyie mnakula chips hadi mnaandaa matamasha ya kula chips mayai? Hivi hizi heshima kwenye ndoa zenu zitaletwa na ngumi? Jipangeni aisee.....watu wanahamasishana kula ugali wa dona,ugali wa muhogo...nyie mnatuletea vituko gani? Kuweni sirias aisee mnatutia aibu. Huku kwetu Nzega chips mayai inatumika kama mboga wakati wa kula dona nyie mnakula na mnalalia! Halafu baada ya miaka mnaanza kukimbilia kwa DR. MWAKA. Jaman acheni hizi aibu.
 
Baelezee hao wanaume wa Dar - ndio maana wake zao wanatafuta Vidumu.
 
Ni Chakula cha WANAUME WA BARA! ambao huvamia jiji la Dar es salaam! badala ya kula vyakula vya wenyeji wa jiji hili la Pwani wao hukimbilia Chips Mayai! Baada ya muda tu mambo yanaharibika!
Kwani vyakula vya wenyeji wa dar ni vipi mkuu.....
 
Ugali wa mahindi au mhogo, samaki, kisamvu cha nazi, majani ya kunde au maboga, mihogo, mazao ya baharini kuanzia uduvi, taa, pweza nk.
Hahahahaha ila chips zege si zao la wanadaresalaam mkuu msitusizingizie wa mkoani bhana
 
Back
Top Bottom