isambe
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 2,195
- 1,400
Ok I thought ndani.Hapo nje DDC
Ok I thought ndani.Hapo nje DDC
Ndani labda samaki² mkuuOk I thought ndani.
Nimeuliza,**** kidada kimoja kihudumu kikaniuliza....chips mayai zege ndio niniNdani labda samaki² mkuu
Aaah ***** zakeeNimeuliza,**** kidada kimoja kihudumu kikaniuliza....chips mayai zege ndio nini
Kakuma ipo mkuuChips yai /supu ya makongoro havipatikani nje ya Tanzania.
HahahahahahAaah ***** zakee
mate yamenidondoka, nimekumbuka mbuzi limao mrombooo.Kwa sisi wanaume wa mikoani chakula chetu ni Nyama choma na ugali pamoja na mboga ya majani kwa pembeni, Nyama choma inakuwa imejaa kwenye sahani na kaugali kidogo, ukila finyango tatu na pilipili ndiyo unakula tonge moja la ugali
Na mtakwisha nyote na vyakula vyenu hivyo vya kishostitoHii kitu ni noma unakula daily lakini hauchoki, bei nzuri. Tatizo tunazidi kunenepa!
Makongoro yanapatikana mpaka Kingstone (Jamaica) mkuu.Chips yai /supu ya makongoro havipatikani nje ya Tanzania.
Lakini wanaume wa Dar nani kawaroga?? Wanaume wa mikoani tunakula ugali maharage nyie mnakula chips hadi mnaandaa matamasha ya kula chips mayai? Hivi hizi heshima kwenye ndoa zenu zitaletwa na ngumi? Jipangeni aisee.....watu wanahamasishana kula ugali wa dona,ugali wa muhogo...nyie mnatuletea vituko gani? Kuweni sirias aisee mnatutia aibu. Huku kwetu Nzega chips mayai inatumika kama mboga wakati wa kula dona nyie mnakula na mnalalia! Halafu baada ya miaka mnaanza kukimbilia kwa DR. MWAKA. Jaman acheni hizi aibu.
Kwani vyakula vya wenyeji wa dar ni vipi mkuu.....Ni Chakula cha WANAUME WA BARA! ambao huvamia jiji la Dar es salaam! badala ya kula vyakula vya wenyeji wa jiji hili la Pwani wao hukimbilia Chips Mayai! Baada ya muda tu mambo yanaharibika!
Ugali wa mahindi au mhogo, samaki, kisamvu cha nazi, majani ya kunde au maboga, mihogo, mazao ya baharini kuanzia uduvi, taa, pweza nk.Kwani vyakula vya wenyeji wa dar ni vipi mkuu.....
Hahahahaha ila chips zege si zao la wanadaresalaam mkuu msitusizingizie wa mkoani bhanaUgali wa mahindi au mhogo, samaki, kisamvu cha nazi, majani ya kunde au maboga, mihogo, mazao ya baharini kuanzia uduvi, taa, pweza nk.