Madhara yatokanayo na ulaji chips

Update ya 00:40am Daa naona mbeya wanawake kwa wanaume wanavitambi sasa sijui ni chips mayai au@club new city lounge
 
Dah upate Zege na firigisi pembeni au kidali.. Alafu pilipili ya kusaga kachumbari ya matango ukwaju.. Unashushia na juice ya miwa au parachichi... Hatari sana
mmmmmmhhhhh,mkuu una undugu na robert mugabe??mr kusifia chips??
 
Arusha na moshi kuna chips zinapikwa kwa mfumo wa VURUGA, yaani chips yai changanya pamoja na nyama ya kuku, ni kitamu sana. Hala hala kitambi mdebwedo
Hyo style ya vuruga hatar,,hapo wanachanganya na mishkaki,,,af kama wanapika kabisa,,matango pemben,,,,hatar sana
 
mimi ili nijione nimekula chips yai basi lazima nile chips yenye mayai matatu au manne mixer na kitunguu. . . . wee!
 
Wakati kama taifa tunafikiria Tanzania ya Viwanda ndugu zetu wa Clouds fm wameandaa siku ya kula chips yai pale Zakhem Mbagala kesho. Daah nakulilia mama yangu Tanzania. Nashauri waandaaji wajifikirie upya.
 
mie sijui kama kuna makosa ya hao kufanya hivyo! labda wamegundua watanzania wengi hawapendi kutumia hicho chakula ndio maana wanahamasisha ulaji wa chips = mayai, hayo ni maamuzi yao!:D
 
Wakati kama taifa tunafikiria Tanzania ya Viwanda ndugu zetu wa Clouds fm wameandaa siku ya kula chips yai pale Zakhem Mbagala kesho. Daah nakulilia mama yangu Tanzania. Nashauri waandaaji wajifikirie upya.
Alowambia kwenye kituo hicho kuna great thinker nani??? Wao huwa ni washabiki tu wa lolote linalotokea.... enzi za Marehemu Amina Chifupa na kipindi chake cha ..... tena ndo kidogo nilikuwa nawakubali.
 
Nilikuwa sauzi mwaka jana aisee niliteseka sana kule chips yai hakuna siku nimerudi nimetua airport brake ya kwanza mlimani City nikaagiza sahani tatu kwa hasira hii kitu ipo Tanzania tu
Mlimani city sehemu gani wana chips yai,niko karibu na hapo,nielekeze nijongee,Nina hamu nayo mno hii kitu.
 
ukila yai, hata chips yai ambayo kiini chake hakijakaushwa sana au sehemu jingine wanaita jicho, ni chakula bora chenye vitamini
 
Back
Top Bottom