Madhara yaliyofanywa na wanasiasa tanzania

Jolebatawi

JF-Expert Member
Dec 10, 2011
549
230
Vurugu zote hizi za kidini zilizoweza kujitokeza ndani ya hili wiki ni matokeo ya mizizi miovu iliyopandwa na wanasiasa hasa wa CCM dhidi ya siasa za udini wanapokuwa wakivikabili vyama vya upinzani kwa lengo la muda mfupi tu la uchu wa madaraka bila kutafakari madhara yake mbeleni kama ilivyoanza kuonekana sasa.
Wito wangu kwa watanzania ni kwamba kwenye katiba mpya tuweke miiko/mipaka kwa wanasiasa kwa baadhi ya mambo ya msingi kama vile marufuku kutoa propaganda zinazohusu au kuchochea​ masuala ya udini,ukabila n.k na kwa mwanasiasa atakayekaidi miiko hiyo ahukumiwe hapohapo bila mzaha tofauti na hivyo amani na utulivu itakuwa ni wimbo tu kwa WATANZANIA. NAWASILISHA WAKUU ILA MAONI YENU ZAIDI NDIO VITAKAVYOIJENGA TANZANIA.
 
Back
Top Bottom