Madhara ya "Watapangiwa kazi nyingine" kwenye ukosefu wa ajira nchini

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Nataka kuweka kumbukumbu sawa kwanza,

Maana ya sentensi "Uteuzi umetenguliwa,atapangiwa kazi nyingine" ni:-

Kuendelea kula mshahara wa bure nyumbani huku ukisubiri kupangiwa kazi nyingine, na anayechukua nafasi yako nae anaanza kula mshahara uleule.

Chukulia idadi wa wakurugenzi wa halmashauri, manispaa, majiji, mashirika ya umma na taasisi zote za serikali waliotenguliwa nafasi zao na sasa wanaendelea kula mshahara wa bure wakiwa majumbani kwao.Wakati huohuo walioshika nafasi zao nao wanakamua mshahara uleule.>>>> MALIPO MARA MBILI.

Idadi ya waliotumbuliwa na ambao wanasubiri kazi nyingine, ni mamia.

Mkurugenzi mmoja TU wa shirika la umma aliyetumbuliwa na sasa anasubiri kupangiwa kazi nyingine mwenye mshahara wa mil 15-20 ,wanaweza kuajiliwa vijana wangapi wenye mishahara ya laki 5 mpk 6?
Sasa wapo wakurugenzi wangapi?.....Utajaza.

Tuje wale wa Halmashauri wapya 146 ambao mishahara yao n mil 3-4, vijana wangapi wangeajiliwa?


Mwenye nyongeza ashuke hapa.

Dah!
 
N wale vijana wa NIDA waliofukuzwa sijaelewaa hatma yao ...kuwaondoa wale imesolve nini? Je vitambulisho mmepata watanzania mana mliambiwa kabla ya disemba
 
Mmhhh nimesoma huu uzi nimepata tumbo la kuendesha gafla
 
Back
Top Bottom