Madhara ya Utawala wa Awamu ya Tano yameanza kulitafuna taifa; Nani wa kulaumiwa?

Ustadhi c mwenzako sasa yuko ikuruu..c mlimshangilia sana ustadha..rekebisheni sasa sio kuanza kulaumu watu ambao hawapo. Mmekabidhiwaa kijiti sasa barakashiaaa kaz kwenu rekebisheni
the damage caused is beyond repair
 
Vile mwendakuzimu amemind na kuchukizwa na uzi wako huu kutokea huko kuzimu.
View attachment 1916114
Ukitaka kujua mtanzania hata mkiwa nje ya nchi..usipate shida..we angalia mwenendo wake..yaan yy analaumu watu kwa upuuzi wake...ndio kama hawa kina behavior..wao wanalaumu mtu ambae hayuko..yaan ww ukikosa hata ugali kwako utalaumu jirani shwain! Sasa c muendeshe hiyo nchi, c mmekabidhiwaaa nyiee mbona mnaanza kujamba jamba humu jf.
 
Ukitaka kujua mtanzania hata mkiwa nje ya nchi..usipate shida..we angalia mwenendo wake..yaan yy analaumu watu kwa upuuzi wake...ndio kama hawa kina behavior..wao wanalaumu mtu ambae hayuko..yaan ww ukikosa hata ugali kwako utalaumu jirani shwain! Sasa c muendeshe hiyo nchi, c mmekabidhiwaaa nyiee mbona mnaanza kujamba jamba humu jf.
Kama ni sahihi kusifia ambae hayupo kuna ubaya gani kulaumu ambae hayupo?Yaani kutetea legacy ni sawa lakini kulaumu legacy siyo sawa?
 
Mninginio wa kipigo cha uchaguzi mkuu haujatoka, na naona kama wenzetu wamefika na wameharibikiwa kabsaaaaa. laaaaaaaa Magufuli baba lao poleni sana.
Ccm vichwa maji kweli yani unaiba kura unaharibu uchaguzi alafu unajiona shujaa ,magufuli baba lao. Vichwa vimejaa mavi
 
Binafsi kabla ya kuandika chochote au kutuhumu mtu flani sababu ya matendo yake lazima uwe na critical thinking,unatakiwa kufanya arguments za kutosha,unatakiwa kutuliza nafsi yako vya kutosha,unatakiwa kudhibiti emotions kwa kiwango cha juu sana,lazima uwe mtu ambae hana chuki na mtu yoyote,lazima uwe mtu mwenye uimara wa kudhibiti mihemuko ndo watu watakuelewa.

Kila mtu ni kichaa kwa jinsi ya maumbile yake,sema hatukujua na hatuwezi kujua kiwango cha ukichaa wako sababu hujapata nafasi ya kuwatumikia watu wakakutathimini akili yako na uwezo wako wa kuwatumikia, inawezekana wewe una kichaa zaidi ya uliyemtuhumu ila sababu hatujaona ukichaa wako hatuwezi kukufahamu.

Kihistoria sijui kama unaifahamu vizuri familia ya Magufuli,sijui hata kama unafahamu ukoo wa Magufuli, lakini sababu ya chuki zako binafsi unaweza ongea chochote utakacho labda sababu ya kufurahisha watu au ugomvi wako binafsi juu ya kitu flani.
Magu alikuwa kichaa yule nani yule? alipoteza file lake wakati wa vetting
 
Back
Top Bottom