Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,823
- 33,208
ama kweli " kusoma kuelewa kukesha mbwembwe" haya yote ningeyajuaje kama si JF?
Hapa ndipo naishiwa nguvu, kwanini serikali haitoi agizo kuwa wazalishaji wa soda waandike tahadhari kwa mtumiaji kama ilivyowekwa kwenye bia (not for the age under 18) na sigara (sigara ni hatari kwa afya yako) vilevile kuwaelimisha watu kutozidisha matumizi ya soda kama wanavyohamasisha watu kutovaa nguo za ndani za mitumba