HII VITA YA KIBIASHARA KATI YA KAMPUNI YA KOKA NA PESA NI YA KUEPUKWA KAMA mavi
Kutokana na kutotumia kilevi cha aina yoyote, nimejikuta nikiwa ni mnywaji mzuri wa soda ila sijui madhara yake mwilini.
Ni madhara gani ya soda mwilini?? na nini faida zake mwilini.
Nina kama miaka kumi sinywi soda, juice za viwandani na sukari na kwa kweli sijutii. Wenye viwanda na biashara ya vinywaji mtanisamehe!!
Nakuitia mzizimkavu saa hii ama dr.liwa waje wakujuze ucjali!
Nina 'bahati' kuwa sijawahi kutumia kilevi chochote na sitegemei kutumia..Kwanza huwa naviona kama 'vinanizidi umri!'Bia nazo hunywi?
Mzizimkavu kamtuma fadhili paulo nadhani umemuelewa! Mi ndo maana najinyweaga wine !!