Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

Leo nmetumiwa video ikionesha hatariii na madhara ya soda asee wakuu acheni kunywa soda, vinginevyo wakati unakunywa andaa na bajeti ya matibabu, nmeshindwa kui attach, mwenye nayo ataiweka,,,,

Ila wakuu soda mmmm basi

Hio inaitwa foods weapon. vumetengenezwa kupunguza population, watu mahiri na wasomi na viongozi hawanywi soda.
 
Leo nmetumiwa video ikionesha hatariii na madhara ya soda asee wakuu acheni kunywa soda, vinginevyo wakati unakunywa andaa na bajeti ya matibabu, nmeshindwa kui attach, mwenye nayo ataiweka,,,,

Ila wakuu soda mmmm basi

0785-503722
 
Msiogopeshe watu nyie.Soda walau moja kwa wiki si mbaya sana labda kama kila siku unatumia.Na sio soda tu kila kitu ukitumia kupita kipimo ni hatari.
 
Kuna kitabu cha riwaya kimeandikwa na Mtanzania mzalendo kinaitwa JANGA,kinaeleza kwa jinsi watengenezaji WA vinywaji wanavyohusika kuharibu kizazi cha sasa kwa kuchanganya na sumu za hatari zenye kuuq taratibu.Kitabu hicho kinaeleza PIA jinsi gani mashirika makubwa ya kimataifa uhusika katika mipango hiyo mibovu.Kinaonesha PIA kwa jinsi gani wenye viwanda hulipwa pesa nyingi kwa Kasi hiyo.
 
Kuna kitabu cha riwaya kimeandikwa na Mtanzania mzalendo kinaitwa JANGA,kinaeleza kwa jinsi
watengenezaji WA vinywaji wanavyohusika kuharibu kizazi cha sasa kwa kuchanganya na sumu za hatari zenye kuuq taratibu.Kitabu hicho kinaeleza PIA jinsi gani mashirika makubwa ya kimataifa uhusika katika mipango hiyo mibovu.Kinaonesha PIA kwa jinsi gani wenye viwanda hulipwa pesa nyingi kwa Kasi hiyo.
Mkuu jina la kitabu, na mahari kinapo patikana???
 
Leo nmetumiwa video ikionesha hatariii na madhara ya soda asee wakuu acheni kunywa soda, vinginevyo wakati unakunywa andaa na bajeti ya matibabu, nmeshindwa kui attach, mwenye nayo ataiweka,,,,

Ila wakuu soda mmmm basi

..inabidi tuanzie hapa...''how much is too much?''...kumbuka hata kuishi mjini tu ni hatari kwa afya kutokana na uchafunzi wa mazingira uliopo...
 
I wish niache kunywa soda manake dah.

.....usiogope...watu wanatisha badala ya kueleza kwa kina..inategemea unaconsume ngapi na kwa muda gani..na kiasi kipi ni hatari kwa afya..ukijua hayo utafahamu upo katika nafasi gani...
 
.....usiogope...watu wanatisha badala ya kueleza kwa kina..inategemea unaconsume ngapi na kwa muda gani..na kiasi kipi ni hatari kwa afya..ukijua hayo utafahamu upo katika nafasi gani...
Mkuu hoja c ku consum ngap, hoja ni matumizi, nikupe mfano ukiambiwa kuwa chakula unacho kula n kitamu sana ila kimewekewa sum kidogo tu, je utaendelea kula??

Mkuu m nadhan anzia pale unapojua madhara yake, tafakari chukua hatua
 
Back
Top Bottom