Madhara ya Soda kwenye afya ya Binadamu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara ya Soda kwenye afya ya Binadamu

Discussion in 'JF Doctor' started by Click_and_go, Mar 3, 2011.

 1. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #1
  Mar 3, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ningependa kufahamu madhara ya soda kwenye mwili wa Binadamu.
   
 2. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #2
  Mar 3, 2011
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 773
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  inategemea reaction ya mwili wako. Mi na mountain dew hatupatani maana ni kinywa tu kichwa kiagonga ile mbaya halafu huishiwa nguvu na kujisikia myonge.
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Kwanini aina hizo mkuu?
  Hizo zingine unajua au?
   
 4. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  pia kuna tetesi ya kwamba coka kola sio nzuri kwa wanawake,je?kuna ukweli wowote ktk hilo.
   
 5. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #5
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Habari wakuu!
  Kwa kuelekea moja kwa moja kwenye mada juu ya mountain dew, spirite na seven up it seems they are looking the same hasa ukiangalia colour ya chupa zake ila pamoja na chemical ingeredients zake zina fanana fanana kwa namna ambayo inaleta kitu kinachoitwa SODA ila kuna utofauti ufuatao:

  Mountain Dew
  hii imeongezewa asilimia kubwa ya caffein hivyo inasaidia kwa wale vijana ambao wanalala lala usiku so it keep somebody too active moreover ina chemicali nyingine iitwayo TARTRAZINE hii si nzuri kwa jinsia ya kiume kwani inaambatana na kupunguza ufanisi so kilaji kinakufanya unakuwa too active but in long run i think might induce trouble. go to wikipedia for more info about TARTRAZINE

  seven up and sprite
  hizi hazina utofauti sana na zina fanana na Mountain dew kwa kiasi kikubwa ukiondoa hivyo vionjo nilivyovitaja hapo juu pamoja na flavor.


  soda is among of junk food so let avoid it!
   
 6. Click_and_go

  Click_and_go JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 451
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  yes! hizo nyingine nafahamu,,,,,kama vile cocacola,,,,pepsi, fanta na zinginezo!
  madhara yake nayafahamu!!
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Mar 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Tuelezee na sisi tusiojua madhara ya hivyo vinywaji...
   
 8. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 80
  Mountain Dew ina content ya chemical inaitwa Bromide ( a drug used to calm people who are very unhappy or worried!!!!!
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  niambie na mimi.
   
 10. Poetik Justice

  Poetik Justice Member

  #10
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13

  kwa hiyo Mountain dew ni sawa sawa na Red Bull ila ni "Lite" ?
   
 11. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Ndo maana niliamua kuachana na hivi vinywaji long time, nikienda sehemu hakuna ulabu nakunywa maji!!!!
   
 12. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ama kweli " kusoma kuelewa kukesha mbwembwe" haya yote ningeyajuaje kama si JF?
   
 13. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #13
  Mar 4, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,630
  Likes Received: 1,389
  Trophy Points: 280

  beer je?
   
 14. F

  Fideline JF-Expert Member

  #14
  Mar 4, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  mmmmh leten mambo
   
 15. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #15
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  sina uhakika sana juu ya usawa sawa wa red-bull na mountain dew am going back for literature review then i will come, but let avoid this junks drinks kwasababu utakapopata proper dose due to frequent using it might be troublesome to you.
   
 16. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #16
  Mar 4, 2011
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Mimi na coca ni damudamu, sijawahi kuona madhara zaidi ya kusoma/kusikia. Hata hivyo kila kitu duniani siku hizi kina madhara!!
   
 17. safariwafungo

  safariwafungo Senior Member

  #17
  Mar 4, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 136
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mkuu kuna uhakika wowote juu ya uwepo wa bromide katika mountain dew? i guess it might be typing error or otherwise tupatie mashiko/reference juu ya uwepo wa bromide maana i have interest with this claim!
   
 18. howard

  howard Senior Member

  #18
  Mar 4, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hata mimi sijajutia kujiunga JF shule za kufa mtu hapa
   
 19. I

  Ikunda JF-Expert Member

  #19
  Mar 4, 2011
  Joined: Jul 12, 2010
  Messages: 722
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  mie mwenyewe nikinywa soda yoyote tatizo. nitawashwa hadi nijute
   
 20. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #20
  Mar 4, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,495
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Kwa ujumla vinywaji vyote hivyo vya viwandani vina madhara kwa afya ukifinywa mara kwa mara, turudi kweny vinywaji vyetu vya asili kama vile Togwa, Kimpumu.nk....
   
Loading...