Madhara ya "paranoia" kwenye uongozi au siasa ni makubwa sana hivyo ni vema tuelewe nini maana ya paranoia na dalili zake ni nini

muyovozi

JF-Expert Member
Dec 28, 2017
442
1,000
NI kweli kabisa, wana siasa wa Tanzania upinzani na chama tawala wanakabiliwa na tatizo kubwa sana la paranoia!
Paranoia haina chama Wakuu
Laiti viongozi wangetembelea jf, nadhani wangejitathmini. Ni kweli kila MTU ana kakichaa to a certain degree lakini mwenzetu tunapoona amezidi ,tuamini ana paranoia.

(1)Hivi kuna justification gani kufokea msaidizi wako mkuu kwenye kadamnasi, eg mkeo, your PM, foreign affairs minister, etc.

(2) kuamini kuwa watu au nchi mlioshirikiana muda mrefu ghafla unataka tuamini kuwa hawatutakii mema katika muda huu, why.?

Kuamini kuwa wewe umefanya Kazi kubwa umefanya mambo makubwa kuliko waliokutangulia, kama unaamini hivyo si uruhusu mjadala huru watu wakuonyeshe kuwa madhaifu yako ni haya . unaamua kugeuza watu wote ni punching bag kwa sababu unawasakama lakini huwapi nafasi ya kujitetea.

Viongozi wawe na hofu ya MUNGU kama boss ya mboka anavyosema,itapendeza zaidi.
 

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
9,406
2,000
Laiti viongozi wangetembelea jf, nadhani wangejitathmini. Ni kweli kila MTU ana kakichaa to a certain degree lakini mwenzetu tunapoona amezidi ,tuamini ana paranoia. (1)Hivi kuna justification gani kufokea msaidizi wako mkuu kwenye kadamnasi, eg mkeo, your PM, foreign affairs minister, etc.(2) kuamini kuwa watu au nchi mlioshirikiana muda mrefu ghafla unataka tuamini kuwa hawatutakii mema katika muda huu, why.? Kuamini kuwa wewe umefanya Kazi kubwa umefanya mambo makubwa kuliko waliokutangulia, kama unaamini hivyo si uruhusu mjadala huru watu wakuonyeshe kuwa madhaifu yako ni haya . unaamua kugeuza watu wote ni punching bag kwa sababu unawasakama lakini huwapi nafasi ya kujitetea. Viongozi wawe na hofu ya MUNGU kama boss ya mboka anavyosema,itapendeza zaidi.
Paranoia of the highest order!

Ukweli ni kwamba paranoia ni ugonjwa wa akili, na sio mimi nimesema hivyo.

"baseless or excessive suspicion of the motives of others"

Nasikia kuna kiongozi kaamua kunzia sasa atatumia miti shamba tu, ukimpa Panadol ana wasiwasi Ulaya wamezileta Tanzania wanataka kumdhuru!
 

Papy ndombe

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
3,765
2,000
Wazi kabisa, embu anza kwa kuangalia anayoyafanya waziri wa afya. Hata waganga wa kienyeji bado hawajafikia kiwango hicho cha ujuha.
Akutegemea nafasi hio.Ni sawa na wa kijijini aruke stage badala ya kuja dar kwanza aruke moja kwa moja ubeberuni
 

msabillah

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
4,261
2,000
Wapo wengi sana mkuu, ila kuona dalili na matokeo ni mpaka pale watakapo shika mpini. Mtu kama Jiwe, Ndugu y, misiba, kang logda, mambo now n.k Unaanzaje kuwatenga na Paranoa?
Bila kusahau yule wa Belgium.
 

Papy ndombe

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
3,765
2,000
Sio rahisi kuwafanyia hawa watu vetting ya mental state Mkuu, na sio hapa kwetu tu. Hata Marekani wana hilo tatizo.
Inawezekana Sana unapima action zake zote tangu akiwa shuleni, utotoni,chuo, kazini then unazianalyse wataalamu wa tabia wanajua ndio imewasaidia wenzetu weupe kupata madereva bora thus magari yao hayapati ajali.Tabia Kama udikteta, ubinafsi, ulafi, undugu, ukabila,uchoyo,chuki,roho mbaya, visasi,ubabe ufisadi hizi ni inborn character hazijifichi ni mental disorder,paranoia habits hizi kwamba kichwani dishi halijakamata signals Kama signals haisomi unampaje lesseni ya udereva mtu Kama huyu lzm ataangusha gari.
Mental fit hawezi kuwa na hasira,chuki,visasi, much know, kuabudiwa Ili akamilike.
 

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
9,406
2,000
Inawezekana Sana unapima action zake zote tangu akiwa shuleni, utotoni,chuo, kazini then unazianalyse wataalamu wa tabia wanajua ndio imewasaidia wenzetu weupe kupata madereva bora thus magari yao hayapati ajali.Tabia Kama udikteta, ubinafsi, ulafi, undugu, ukabila,uchoyo,chuki,roho mbaya, visasi,ubabe ufisadi hizi ni inborn character hazijifichi ni mental disorder,paranoia habits hizi kwamba kichwani dishi halijakamata signals Kama signals haisomi unampaje lesseni ya udereva mtu Kama huyu lzm ataangusha gari.
Mental fit hawezi kuwa na hasira,chuki,visasi, much know, kuabudiwa Ili akamilike.
Hiyo ngumu sana, na kila chama kitapinga. Nadhani paranoia ni ugonjwa unaowashika wanasiasa wte, suala ni kwamba wanazidiana tu. Ndio maana kunakuwa na misururu sana ya wanasiasa kwenda Mlingotini, Bagamoyo
 

Synthesizer

JF-Expert Member
Feb 15, 2010
9,406
2,000
Hata kupinga kila kitu nayo ni Paranoia.
Enyi masikini wa akili, ni lini mtaelewa maana ya chama cha upinzani? Kwamba kazi yao ni kukubaliana na chama tawala?

Kwa kila kitu kinachotolewa na chama tawala, chama cha upinzani kinatakiwa kionyeshe wao wangefanya kitu hicho kwa namna iliyobora zaidi. Huko sio kupinga. Ndio siasa zilivyo.
 

Papy ndombe

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
3,765
2,000
Hiyo ngumu sana, na kila chama kitapinga. Nadhani paranoia ni ugonjwa unaowashika wanasiasa wte, suala ni kwamba wanazidiana tu. Ndio maana kunakuwa na misururu sana ya wanasiasa kwenda Mlingotini, Bagamoyo
Hapo itategemeana na exposure na au you civilized
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom