Madhara ya mbuzi kagoma

mnyalu2

Member
Nov 17, 2010
6
1
wana JF,nina mtoto mmoja anapenda sana staili ya mbuzi kagoma anadai hiyo ndyo inamfikisha but mimi nahofu kuwa stahili hiyo itamharibu au kulegeza kizazi chake maana kitu kinagonga palepale na nina mpango mrefu wa kumuoa.Naomba mnijuze kama kuna madhara yoyote na kama ni nzuri kiafya.Asanteni
 
Mh!kwa vile nijuavyo ni kweli kabisa unahatarisha kizazi za mpenzi wako!ni vyema kuacha tabia hii!
 
Mpwa, kwani shurti mbuzi agome? ni hatari sana hasa kama utakua na haraka, na kwa kaujuzi nilikokua nako ni kwamba, wabongo wengi hufanya ile shughuli kama ugomvi hivi, so ni extra hatari, kwa both; mtenda na mtendwa, hebu tafuta kwenye net kama ile taarifa ya JAMAA aliekufa arusha baada ya kupewa "mbuzi kagoma" wakati hajala na kupumzika! lakini ya nini yooote hayo?
 
Kijana kama ujamuoa nafikiri si muda muafaka wa kuanza kutafuta style wakati mtoto wa watu bado yupo kwao.Kama unataka muoe ndio mtashauriana mkiwa kwenye Ndoa !
 
Ukiendekeza hako kastaili kako ka sodoma hutakaaa uitwe mama/baba, shauri yake, I have vivid example
 
wana JF,nina mtoto mmoja anapenda sana staili ya mbuzi kagoma anadai hiyo ndyo inamfikisha but mimi nahofu kuwa stahili hiyo itamharibu au kulegeza kizazi chake maana kitu kinagonga palepale na nina mpango mrefu wa kumuoa.Naomba mnijuze kama kuna madhara yoyote na kama ni nzuri kiafya.Asanteni

Lile tundu ni elastic!
Sema kuna uwezekano wa kupata UTI, kwani ikitelezea kule kunako(0713), unazoa bacteria wa huo ugonjwa!
 
Kijana kama ujamuoa nafikiri si muda muafaka wa kuanza kutafuta style wakati mtoto wa watu bado yupo kwao.Kama unataka muoe ndio mtashauriana mkiwa kwenye Ndoa !

Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Isanga Mbeya.
 
wana JF,nina mtoto mmoja anapenda sana staili ya mbuzi kagoma anadai hiyo ndyo inamfikisha but mimi nahofu kuwa stahili hiyo itamharibu au kulegeza kizazi chake maana kitu kinagonga palepale na nina mpango mrefu wa kumuoa.Naomba mnijuze kama kuna madhara yoyote na kama ni nzuri kiafya.Asanteni

weka picha! iam tired of theories!
 
Back
Top Bottom