Madhara ya matumizi ya vidonge vya vitamin E kwenye ngozi

Ms mol

JF-Expert Member
Mar 31, 2017
1,963
2,000
Habari wapendwa madaktari..

Nilipata stretch marks (mazimola) tumboni na mapajani kwangu mara baada ya kubeba ujauzito..

Nimeshauriwa kuwa kuna vidonge vinaitwa vitamin E capsules vya kijani nitumie kujipaka mwezi mzima ngozi itakuwa sawa!!!! Naombeni ushauri wengu haswa juu ya madhara ya hizi dawa.

NB nina ugonjwa wa mba kichwani na kwenye ngozi nimeambiwa pia ni nzuri please advice me...!

Thank you dear doctors
 
yna2

JF-Expert Member
Aug 18, 2018
15,479
2,000
Vitamin e havina madhara hata kidogo..yes tumia pia kichwani kwa mba hayawezi fanya kazi pekee labda kwenye kuikuza na kuijaza nywele..kwenye mba tumia castor oil au coconut oil(cold process) changanya na hizo vitamin e na tee tree essential oil..utajifurahia my dear
 
Lignocaine

JF-Expert Member
Dec 12, 2018
257
1,000
Habari wapendwa madaktari..

Nilipata stretch marks (mazimola) tumboni na mapajani kwangu mara baada ya kubeba ujauzito..

Nimeshauriwa kuwa kuna vidonge vinaitwa vitamin E capsules vya kijani nitumie kujipaka mwezi mzima ngozi itakuwa sawa!!!! Naombeni ushauri wengu haswa juu ya madhara ya hizi dawa.

NB nina ugonjwa wa mba kichwani na kwenye ngozi nimeambiwa pia ni nzuri please advice me...!

Thank you dear doctors
Kutumia capsules kujipaka hapo ume complicate ipo enat cream (vitamin e) hii nazan itakua ni rahisi wengine hutumia bio oil (japokua stretch marks wengine zinagoma kwa kutumia hizo na wengine zinaisha kwahiyo apo 50/50)
Mba kichwani ni better ukatumia ketoconazole shampoo
 
Ms mol

JF-Expert Member
Mar 31, 2017
1,963
2,000
Vitamin e havina madhara hata kidogo..yes tumia pia kichwani kwa mba hayawezi fanya kazi pekee labda kwenye kuikuza na kuijaza nywele..kwenye mba tumia castor oil au coconut oil(cold process) changanya na hizo vitamin e na tee tree essential oil..utajifurahia my dear
Asante dear yna2 kama hazina madhara nitatumia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom