1.MADHARAnaomba msaada kujuzwa juu ya matumizi faida na madhara ya mkanda wa kupunguza tumbo kwa wanawake
na njia mbadala ya kupunguza tumbo hasa ya vyakula na vinywaji
1.MADHARA
Nikiwahi kuutumia ndugu unaendesha mafuta na mwili kuishiwa nguvu unaweza kupata matatizo mengine sikushauri uutumie .
2.NJIA MBADALA
Fanya zoezi la.kutembea kwa dakika 30 kwa siku kwa siku 5 za wiki.punguza maubwabwa na masembe japo kwa wiki 2 utagundua tofauti
.