Madhara ya kutumia vidonge vya uzazi wa mpango huku wanawake wakisahau njia bora ya kupanga uzazi ni kutumia kondom na kalenda tu

Bado hizo njia zimesaidia wengi.ni kiasi cha mwanamke mwenyewe kwenda kujicheki ajue njia gani ya mpango itakayomfaa kulingana na yeye alivyo.hizo nyingine ni mbwembwe tu.Kuna yale magoli ya asubui asubui haya huwa hakunaga cha condom wala kalenda wala nin.
Pamoja na kusaidia wengi kumbuka kuna madhara ambayo huwezi kuyaona kwa muda mfupi ni mpaka baada ya miaka kadhaa na ni makubwa kuliko unavyotarajia,mbona kondomu ni nzuri tu kutumia?
 
Watumiaji walio wengi hawajui madhara ya utumiaji wa vidonge vya uzazi.
 
Habari za siku mingi?
Ni kweli usipokuwa makini hizo njia za withdraw na calendar ni ngumu sana ila kusema za ukweli hizi dawa za hospitalini ni hatari zaidi bora kuzaa kuliko kutumia dawa za uzazi wa mpango........nitaje madhara machache tu
1.Kukosa hamu ya tendo la ndoa
2.Uke kujaa maji mengi hivyo kupunguza raha kwenye tedo la ndo na kuweza kusababisha uchepukaji
3.Hasira kwa mwanamke......mwishowe humchukia hata mume baadae uchepukaji huweza kutokea
4.Kwa sababu dawa huwa kwenye mzunguko wa damu muda wote uwezekano wa kuzaa mtoto mwenye matatizo ya akili ni mkubwa sana........rejea watoto wa sasa ambao wazazi wao wamekuwa watumiaji wa dawa hizi(rejea pia uwezo wa watoto mashuleni)
5.Uwezekano wa kupata kansa ya shingo ya kizazi/kansa kwenye mji wa mimba ni mkubwa sana
6.Uke kujaa maji humfanya mwanaume apunguze uwezo wa tendo la ndoa na kusemekana mwanaume amepungukiwa nguvu za kiume
Kwa uchache ni hayo tu dada yangu ila njia za asili zipo nyingi na zina matokeo chanya zaidi kuliko hizo za hospitalini wewe endelea kutumia ila mwisho wa siku yakikupata moja kati ya hayo utatukumbuka.........kumbuka hospitalini hawasemi ukweli sababu hizo ni biashara za watu

Nikipata muda nitaelezea hapa njia za asili za kupanga uzazi
Tuelezee hizo njia za asili ila usinambie tu maswala ya kutosex siku zangu za joto sababu hiyo siiwezi

Mwanaume kuchomoa nayo siitaki hakuna raha nayopata km mwanaume akiwa anamwaga sperms kuna hisia kali huwa nafeel

Kutumia condom hili hapana kiukweli inapunguza utamu kwa kiasi kikubwa

Njia za kisasa zina athari lakini kusema tuzae tu hilo nalo ni gumu mno

Za siku ni nzuri sana kwa upande wangu
 
Wanaume hapa tunaongea sana utadhani tunaijua miili ya wanawake 100%,mzunguko wa hedhi wa mwanamke unaathiriwa na mambo mengi kila siku.Hauwezi kuwa constant kama automated machine, kufuata calendar ni hatari sana na hata withdrawal sio salama pia.

Mwanamke aende hospitali aongee na wataalam wa afya kuhusu njia bora na salama ya uzazi wa mpango.Mimba zisizo tarajiwa sio dili na msiwatishe watu kuhusu side effects ambazo nyingine ni za uongo kabisa.
Wewe unaelewa asante
 
Tuelezee hizo njia za asili ila usinambie tu maswala ya kutosex siku zangu za joto sababu hiyo siiwezi

Mwanaume kuchomoa nayo siitaki hakuna raha nayopata km mwanaume akiwa anamwaga sperms kuna hisia kali huwa nafeel

Kutumia condom hili hapana kiukweli inapunguza utamu kwa kiasi kikubwa

Njia za kisasa zina athari lakini kusema tuzae tu hilo nalo ni gumu mno

Za siku ni nzuri sana kwa upande wangu
Kila la heri mama endelea tu kufanya unavyoona ni sahihi maana watu wote hatuwezi kufanana!!
 
Hii madawa ilininyima papuchi mwezi mzima HD nikachepuka!!wife anabridi tuuuuuuuu!!! Loh!!
 
Eeeh ndo raha ya kupanga uzazi ishu za kujibana bana eti withdraw kwani hiyo ni ATM!![/QUOT wacheni maneno mengi tunasema hya ili kuziepuka athari na sikukoseshana raha vo hakuna asohitaji raha ww kma una njia rahic yakupata raha bila athar twambie
 
Back
Top Bottom