Madhara ya kutumia screen touch

junior mzolo

Senior Member
Jan 26, 2014
140
7
Eti wana jf kuna madhara yoyote yatokanayo na kutumia simu za touch screen au ni uzushi tu miongoni mwa watu
 
Wanaosema kuna madhara si uwaulize wakupe majibu yao? Mimi sidhani kama kuna madhara na huenda yakawa hayapo kabisa.
 
Dole linakuwaga hivi...

dole2.jpg
Effect kubwa ambayo imewapata watu wengi ni dole gumba kubadilika na kuwa kama uume wa ngamia!
 
Nafikiri kama yapo ni madogo sana. Kwasababu mkono au kidole chako ndo kinakuwa kama mouse. Na what happens in mouse click ni execution of command which is electronic automotion.
 
Kasome zinafanyaje kazi !
Utagundua kuwa hazina affect yoyote !
 
Back
Top Bottom