Madhara ya kutumia condoms

junior mzolo

Senior Member
Jan 26, 2014
140
7
mhhh,nimesikia tu baadhi ya wanaume wakilalamika eti kondom zinaumiza mishipa ya uume, ,,,sa sina uhakika hivi ni kweli au uzushii tu
 
mhhh,nimesikia tu baadhi ya wanaume wakilalamika eti kondom zinaumiza mishipa ya uume, ,,,sa sina uhakika hivi ni kweli au uzushii tu

inategemea na aina ya cndm unayotumia jrbu ruff rider kdgo hzbni zile tofaut na hz zngne
 
Back
Top Bottom