Madhara ya kutokuwa na mpenzi au hali ngumu ya maisha

Kijana Jr

JF-Expert Member
May 12, 2016
560
838
Habari zenu wana jf nimekuwa mtu wa kukasilika mara kwa Mara kwa mambo madogo kichwa kuniuma kukosa kujiamini naota nafanya mapenzi wanawake ninao wafahamu na hata nisiowafahamu Muda mwingine nakuanajitambua kabisa mchana kweupe kwamba hapanafanya kitendo hiki nikiamka boxer imelowakwa wiki naweza kuota mara 3 Je hili ni tatizo uchumi wanchi na hali kuwa ngumu au ni mabadiliko tu ya kimwili?
 
Ni Hali ngumu tu mkuu, fight utoke tu kimaisha, hakuna jini mahaba hapo wala jini mtaka mwili
 
Unaota mchana, unapataje muda wa kulala mchana.

Anyway kama huwa ukisikia maombi unayapotezea utateseka sana. Kwa maana nyingine dawa ya tatizo lako ni kuombewa tu na kuanza kusali kwa bidiii
 
vipi nyeto hupigi? nakushauri piga nyeto mara nyingi uezavyo maana ni domo zege hamna namna tena
 
Kazi mnayo aiseee
Ila mbona mm nimeweza kuvumilia kutogegeda toka 2015..
 
usiangalie video za ngono

jichanganye na watu

hudhuria matamasha mbalmbali

fanya kazi kwa bidii

sahau habari ya ngono

tafuta pesa utimize malengo

hudhuria gym kwa sana

hudhuria ibada kuomba mungu

akupatie hitaji la moyo wako km hujaoa

sali bila kuchoka

usiforce hisia zikupelekeshe akili yako

pokea jibu la mungu kwa wakati aliopanga.


epuka mambo ya KUHISI.
 
usiangalie video za ngono

jichanganye na watu

hudhuria matamasha mbalmbali

fanya kazi kwa bidii

sahau habari ya ngono

tafuta pesa utimize malengo

hudhuria gym kwa sana

hudhuria ibada kuomba mungu

akupatie hitaji la moyo wako km hujaoa

sali bila kuchoka

usiforce hisia zikupelekeshe akili yako

pokea jibu la mungu kwa wakati aliopanga.


epuka mambo ya KUHISI.
Shukrani mkuu
 
Back
Top Bottom