Madhara ya kusimamishwa mkurugenzi wa wanyama pori

SilvaG

Member
Joined
Jul 23, 2011
Messages
9
Points
0

SilvaG

Member
Joined Jul 23, 2011
9 0
Imebainika kuwa maelfu ya vijana wameanza kupoteza ajira baada ya kukosekana vibali vya kusafirisha mazao yao nje ya nchi, hali hii inazikumba hata kampuni ambazo hazisafirishi wanyama ila zinahitaji vibali vya CITES ambavyo mhusika ni aliyesimamishwa Mr. Mbangwa. Hali hii inasikitisha zaidi kwa kampuni za maua ambazo huagiza maua hadimu nje ya nchi kuyakuzia hapa na kuyapeleka nje. Conclusion, uzembe wa serikali yenyewe unasababisha madhara kwa wawekezaji, ajira na uchumi wake yenyewe!
 

Forum statistics

Threads 1,355,615
Members 518,708
Posts 33,113,818
Top