Madhara ya kusajili meli za wairan yaanza kuonekana(some bank block money transfer to Tanzania).....

Sasa mie nnayetuma hela na hao wasioweza kutuma hela hawajui hata sababu wanasingizia Iran nani kauchapa usingizi?

Kama Iran ingekuwa issue mie ningewezaje kutuma hela?

umesoma maelezo yake vizuri?
 
umesoma maelezo yake vizuri?

Sio nimesoma tu, nimesoma, nimeelewa, mpaka nikauliza maswali ambayo hayajajibiwa.

Sasa swali sio kwamba mie nimesoma maelezo yake vizuri, ila yeye kasoma maswali yangu vizuri.
 
Mtu anatuma hela kutumia "hawalla" au Cracker Credit Union in some neck-of-the woods red-neck county somewhere in Nebraska or Mississippi, sasa kwanini wasikupige stop? Western Union, Money Gram, na benki zote za majina makubwa USA rukhsa kutuma hela Tanzania.
 
Mtu anatuma hela kutumia "hawalla" au Cracker Credit Union in some neck-of-the woods red-neck county somewhere in Nebraska or Mississippi, sasa kwanini asikupige stop? Western Union, Money Gram, na benki zote USA rukhsa kutuma hela Tanzania.

Exaaaaaactly.

Tena huna hata haja ya kwenda kwenye vi cash checking place.

Unabofya tu www.moneygram.com angalia hapo "Send To" fanya kama unachagua nchi utaiona Tanzania ipo.

Mie ndo maana nikatumia diplomasia kusema "the issue is not with Iran or Tanzania, it is much more localized" meaning inaweza kuwa ni ki credit card chako umekitumia mara ya kwanza kimepeta, kimewapa watu shida kutoa hela, wameki block, wanakupa sound za Iran sijui hivi na vile.

Mnyamwezi angefanya habari hii tungejua wabongo wote.

Mbona wengine tunatumia cousins ada and things hamna shida?

Msisingizie Iran kwa matatizo yenu jamani. Kikwete tunamsema kwa mengi, lakini hizi propaganda nyingine zimezidi.
 
Tatizo hilo tunalo watanzania, lakini nchi jirani kama Kenya zinakubali mpango huo mzima, kwani pesa zikifika watumiaji kwa kiwango kikubwa wataiacha pesa hiyo kule bureau de change ambao nao huzifikisha bank kuu. Labda wasichoona ni faida kubwa kwenda kwa mlalahoi badala ya bank kuu na mabank kufaidi faida yake lakini hawako makini kuangalia mzunguko mzima wa pesa hiyo.

Watu wanatumia Kenya na Uganda kutuma pesa kutumia mtandao huo kwani zitakufikia madafu yenyewe uyafanyie upendavyo kwa rate unayotaka kuliko hawa wa western union ambao wanakumba nyingi tu kwa rate kubwa tu ambayo hata serikali haiambuli vya kutosha.

Diaspora ndiyo inayosaidia nchi nyingi kama huko Ufilipino walioko nje kama Marekani ni waingizaji wa pesa nyingi kwa mtindo huu na husaida sana uchumi wa nchi, lakini kwetu tumetanguliza maskini asipate nafasi, lakini ingekuwa wakubwa ndio wanaonufaika moja kwa moja mtandao huo ungelindwa kwa nguvu ya ziada.

Umeona jinsi gani kuna wasomali wengi kenya wana bureau De Change zao mitaani.Yaani mtu yupo ktk kibanda kama cha kukata ticketa anabdili na kutuma hela.Kwa taarifa yako nairobi unaweza usipate pa kubadilisha hela za Tanzania katik Mabenk mengi na bureau official ni chache sana.hawa machinga wa kisomali wapo kuanzia Namanga hadi Nairobi.Na hela wanazozipokea wanakupa TSh ambazo ndizo wanazoweka bank, wengi wana mitandao haramu aiawapatiayo hela za TZ kwa kwa matumiz mbalimbalia ila hiyo dolar hawatoi wala kupeleka bureau.

Kenya wana tatzio la kutisha zaidi.Ndio maana sasa hivi wanachapwa tuu.Wasomali hawajichanganyi na kuwa wakazi, ni watu wa maisha yao na deal ni deal.Wakishapata nguvu ni wanakuwa wababe.
 
Exaaaaaactly.

Tena huna hata haja ya kwenda kwenye vi cash checking place.

Unabofya tu www.moneygram.com angalia hapo "Send To" fanya kama unachagua nchi utaiona Tanzania ipo.

Mie ndo maana nikatumia diplomasia kusema "the issue is not with Iran or Tanzania, it is much more localized" meaning inaweza kuwa ni ki credit card chako umekitumia mara ya kwanza kimepeta, kimewapa watu shida kutoa hela, wameki block, wanakupa sound za Iran sijui hivi na vile.

Mnyamwezi angefanya habari hii tungejua wabongo wote.

Mbona wengine tunatumia cousins ada and things hamna shida?

Msisingizie Iran kwa matatizo yenu jamani. Kikwete tunamsema kwa mengi, lakini hizi propaganda nyingine zimezidi.
Bible-school kids bana, vituko vitupu. Hivi hizi scholarships za kusoma biblia Marekani bado tu Wabongo wanaona dili?
 
Vidoooongo,

Ushaona mtu FOTB, kazamia kwa gia ya Mormons wamemtupa SL City huko eee.
 
Umeona jinsi gani kuna wasomali wengi kenya wana bureau De Change zao mitaani.Yaani mtu yupo ktk kibanda kama cha kukata ticketa anabdili na kutuma hela.Kwa taarifa yako nairobi unaweza usipate pa kubadilisha hela za Tanzania katik Mabenk mengi na bureau official ni chache sana.hawa machinga wa kisomali wapo kuanzia Namanga hadi Nairobi.Na hela wanazozipokea wanakupa TSh ambazo ndizo wanazoweka bank, wengi wana mitandao haramu aiawapatiayo hela za TZ kwa kwa matumiz mbalimbalia ila hiyo dolar hawatoi wala kupeleka bureau.

Kenya wana tatzio la kutisha zaidi.Ndio maana sasa hivi wanachapwa tuu.Wasomali hawajichanganyi na kuwa wakazi, ni watu wa maisha yao na deal ni deal.Wakishapata nguvu ni wanakuwa wababe.

sijaona hatari ya maduka yao ya money transfer, nilisafiri kipindi cha Pasaka kama nilivyoainisha kwamba ndege tuliyosafiria ilisitishwa kwa muda pale Zurich. Katika safari hiyo nilipokuwa Marekani niliweza kutuma pesa kupitia duka hilo la Wasomali la kutuma pesa ambalo liko mjini kabisa karubu na bank moja kubwa tu, na moja liko mitaani, lakini kama hawa jamaa wangefikirika ni mitandao ya kijasuri taifa kama marekani lisingeweza kuruhusu biashara hiyo.

Ninachoona ni wivu na mizengwe ya Tanzania tu. Mimi nilituma pesa kupitia Nairobi, na niliyemtumia lipata bila tatizo na kuziwakilisha Tanzania ontime. Niliporudi nikaulisa officer mmoja wa bank kuu, jibu lake lilikuwa jepesi tu kwamba kama hujui nchi hii subiri utawala ubadilike utashangaa madudu ya ajabu yatakapofumuliwa maofisini, ndio maana unaona wagumu kutoka wanaogopa yatakapofumuliwa hatapona mtu.
 
Tz imeblokiwa kwa madeni walionayo. wacheni propaganda za kipuuzi sisi tuko hukuhuku ughaibuni na tunatuma pesa kwenda Zanzibar kama kawaida msiwadanganye watu kwa kisingizio cha Iran.

Umemuelewa mtoa mada alichosema au umedandia thread??soma kwanza tena then unijibu comment yangu, kama hujaelewa sema tukueleweshe, na wewe ni greater thinker???
 
sijaona hatari ya maduka yao ya money transfer, nilisafiri kipindi cha Pasaka kama nilivyoainisha kwamba ndege tuliyosafiria ilisitishwa kwa muda pale Zurich. Katika safari hiyo nilipokuwa Marekani niliweza kutuma pesa kupitia duka hilo la Wasomali la kutuma pesa ambalo liko mjini kabisa karubu na bank moja kubwa tu, na moja liko mitaani, lakini kama hawa jamaa wangefikirika ni mitandao ya kijasuri taifa kama marekani lisingeweza kuruhusu biashara hiyo.

Ninachoona ni wivu na mizengwe ya Tanzania tu. Mimi nilituma pesa kupitia Nairobi, na niliyemtumia lipata bila tatizo na kuziwakilisha Tanzania ontime. Niliporudi nikaulisa officer mmoja wa bank kuu, jibu lake lilikuwa jepesi tu kwamba kama hujui nchi hii subiri utawala ubadilike utashangaa madudu ya ajabu yatakapofumuliwa maofisini, ndio maana unaona wagumu kutoka wanaogopa yatakapofumuliwa hatapona mtu.

Hiyo ni sura moja ya viongzoi wetu.Ila hiyo tranfer ina pata advantage nyingi sana kwa wasomali.Kuruma hela kwa nchiya Tanzania hapo mwanzo panaweza pasiwe shida, ama US wameona waachie ili Tanzania ipate hela.Am wengi wa watumiayo hiyo huduma ni watanza au wengie wasio na reconrd mbaya na hivyo kuwafanya hao wasomali waonekane tofauti na wengine.

Ila hili suala la kutuma hela halafu mtu akapokea Tsh mikoni kwa wasomali ni drama.Wakupe hela yako ktk dollarndipo uwe na hakika kuwa hela zin\po ktk bank.Hapa $ ni bidhaa zaidi ya currency.Wasomalia ndio wabazitafuta.
 
Mpe ukweli huyo not a great thinker kazi yao ni ku abuse "Lete ushahidi, au reference"

Wapo wengi sana wa hivyo, hizo ndio comment zako zisizo na mashiko hawajui kitu zaidi ya lete ushahidi au reference wanaudhi sana....alafu hawasomi na kuelewa wanakurupuka tu....
 
Hiyo ni sura moja ya viongzoi wetu.Ila hiyo tranfer ina pata advantage nyingi sana kwa wasomali.Kuruma hela kwa nchiya Tanzania hapo mwanzo panaweza pasiwe shida, ama US wameona waachie ili Tanzania ipate hela.Am wengi wa watumiayo hiyo huduma ni watanza au wengie wasio na reconrd mbaya na hivyo kuwafanya hao wasomali waonekane tofauti na wengine.

Ila hili suala la kutuma hela halafu mtu akapokea Tsh mikoni kwa wasomali ni drama.Wakupe hela yako ktk dollarndipo uwe na hakika kuwa hela zin\po ktk bank.Hapa $ ni bidhaa zaidi ya currency.Wasomalia ndio wabazitafuta.

Mitandao ya money transfer ya wasomali ni cheap na huku bongo mtu unapata madafu yenyewe ya $$$ au pound, kisha unatafuta duka la kubadilisha ambalo unajihakikisha kuingiza mfukoni kitu kilichokamilika kuliko kubadilisha bank.

Makampuni mengine ni wizi mtupu, kwani unapata pesa iliyokwisha badilishwa na hapo ndiipo wanapochota nyingi tu kwa dirisha la kifichoni.
 
Sio nimesoma tu, nimesoma, nimeelewa, mpaka nikauliza maswali ambayo hayajajibiwa.

Sasa swali sio kwamba mie nimesoma maelezo yake vizuri, ila yeye kasoma maswali yangu vizuri.

Maelezo yake yapo wazi ni logic tuu inahitajika kupata kuweza jua kikwazo.
 
Mitandao ya money transfer ya wasomali ni cheap na huku bongo mtu unapata madafu yenyewe ya $$$ au pound, kisha unatafuta duka la kubadilisha ambalo unajihakikisha kuingiza mfukoni kitu kilichokamilika kuliko kubadilisha bank.

Makampuni mengine ni wizi mtupu, kwani unapata pesa iliyokwisha badilishwa na hapo ndiipo wanapochota nyingi tu kwa dirisha la kifichoni.

Sijakataa matatizo ya uongozi wa mashirika ya fedha ya nchi,na mengine ni mabaya kabisa kwani wanazo sheria ila wahidni na wengine wanahamisha hela kirahisi tuu ,kiasi cha kuiacha nchi haina akiba ya $$ ,na nyingine.Poopl ya hela kuwa mikononi kwa wasomali ni shida kubwa kwa uchumia wa nchi,hawa jamaa wanakuwa cheap kwa vile hawalipi kodi kwa kiasi kikubwa.Hata wale wanaolipa hawalipi cha maana.

Wasomali nimekaa nao kwa karibu sana, na nimeabadili hela sana kwao.Na ninachokisema ni wazi kuwa pool kubwa ya hela wanazo na uhamishaji wa hela ni mkubwa sana.Well, wewe unafurahi kwa vile unapata humuda uliyotaka kwa bei inayokuridhisha.Lakini hiyo kubaki CRDB, NBC etc si swa na kubaki kwa msomali ambaye huku anatoa hela ktk kiosk ktk mitaaani ya uswahili.Bureau za kawaida tuu zenye leseni serikali inaibiwa big time.Hawa wasomali wafanyacho ni kuwa na njia nyingine za kuingiza hela za madafu,huku dollar zijazo wanaziweka kapuni.
 
Sio nimesoma tu, nimesoma, nimeelewa, mpaka nikauliza maswali ambayo hayajajibiwa.

Sasa swali sio kwamba mie nimesoma maelezo yake vizuri, ila yeye kasoma maswali yangu vizuri.

mkuu hujaelewa,
 
Wameblock tanzania kama nchi/ serikali au raia wa tanzania wasifanye biashara? naommba kufahamishwa zuzu mie!
 
Exaaaaaactly.

Tena huna hata haja ya kwenda kwenye vi cash checking place.

Unabofya tu www.moneygram.com angalia hapo "Send To" fanya kama unachagua nchi utaiona Tanzania ipo.

Mie ndo maana nikatumia diplomasia kusema "the issue is not with Iran or Tanzania, it is much more localized" meaning inaweza kuwa ni ki credit card chako umekitumia mara ya kwanza kimepeta, kimewapa watu shida kutoa hela, wameki block, wanakupa sound za Iran sijui hivi na vile.

Mnyamwezi angefanya habari hii tungejua wabongo wote.

Mbona wengine tunatumia cousins ada and things hamna shida?

Msisingizie Iran kwa matatizo yenu jamani. Kikwete tunamsema kwa mengi, lakini hizi propaganda nyingine zimezidi.

Hii issue ya Iran si imfanywa na ami yetu katika nchi ya unguja? sasa tanganyika n pemba wanhusikaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom