- Thread starter
- #21
Mkuu pengine wewe mwenyewe ndio unakisiwa maana sisi tunatuma kama kawaida na hakuna kitu hicho...
Mkuu nitafanya utafiti tena naenda katika benki nyingine then nitakuja na jibu na nitawauliza sababu kwa nini hatuwezi tuna pesa.....siyo kwamba nasikiwa kwa kuwa yeye alicheki tu nchi ninayotuma ni Tanzania basi akasema siwezi tuma pesa Tanzania....sasa nitaenda different bank then nitaleta majibu hapa jukwaani maana mimi mwenyewe imenikera kwa kuwa nina shida sana ya kutuma pesa bongo naenda then wananiambia hivyo