Madhara ya kusajili meli za wairan yaanza kuonekana(some bank block money transfer to Tanzania)..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madhara ya kusajili meli za wairan yaanza kuonekana(some bank block money transfer to Tanzania).....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mpya, Sep 18, 2012.

 1. m

  mpya Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama mnakumbuka tulisajili meli za wairan....nimeona kitu kinatokea kuna baaadhi ya nchi sasa hauwezi kutuma pesa Tanzania..hii kitu imenitokea mimi hapa kama wiki moja iliyopita huku Ughaibu nilikwenda kutuma pesa bongo wakaniambia siwezi tuna pesa tanzania kwa kuwa wametu-block pamoja na wairan....ilibidi nishangae kwa kuwa nimeshatuma mara nyingi tu kwa kutumia benki hiyo hiyo kama miezi michache iliyopita. sasa hii kitu imenishangaza sana na nilipojaribu fikiria kidogo nikakumbuka hii issue ya kusajili meli za wairan inawezekana sasa wakubwa wameshaanza kuweka vikwazo
   
 2. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hawana ujanja wala uwezo wa kutuwekea vikwazo. Tanzania hatufungamani na siasa za upende wowote, hatuko tayari na hatutakuwa tayari kuchaguliwa marafiki/maadui na mataifa mengine.
   
 3. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,764
  Likes Received: 6,082
  Trophy Points: 280
  Diaspora ya Ghana inashikilia nafasi ya tatu kwa uchumi wa nchi hiyo; ya Nigeria ni ya nne kwa kuchangia uchumi wa nchi hiyo, vivyo hivyo kwa Uganda. Hapa kwetu badala ya kuweka mazingira mazuri kwa walio nje ya nchi kuchangia uchumi wa nchi yetu kama ilivyo kwa nchi za wenzetu, kwa ujuha wetu tunaziba hata kile kidogo kilichokuwa kinapatikana! Tumekwisha.
   
 4. m

  mpya Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yap ni kweli hiyo kitu mimi imenitokea personally yaani kwa kifupi imeshangaza sana na maana imebidi kuongea na yule Teller maana nimeshatuma zaidi ya mara kumi toka nije huku ughaibuni na kutumia benki hiyo hiyo mana nina akaunti hapo....sasa nilipokwenda this time nimeshangaa sana maana mpaka alienda ndani nadhani kwa manager akarudi akaniambia wametublock tanzania na iran....duh kwa kifupi ni noma
   
 5. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Au ndo maana makampuni ya madini nayo yameanza kufungasha virago kurudi makwao?. Bora tuwekewe vikwazo ili serikali yetu ijue udhaifu wao ndo umepelekea yote hayo kutokea
   
 6. INGENJA

  INGENJA JF-Expert Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 4,768
  Likes Received: 3,324
  Trophy Points: 280
  acha pumbea nauzandiki..habari za fita tuuu,unavielelezo......
   
 7. m

  mkataba Senior Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tz imeblokiwa kwa madeni walionayo. wacheni propaganda za kipuuzi sisi tuko hukuhuku ughaibuni na tunatuma pesa kwenda Zanzibar kama kawaida msiwadanganye watu kwa kisingizio cha Iran.
   
 8. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Wamzuei pia baba mwanaasha kwenda kwenye hizo nchi pia.
   
 9. rushanju

  rushanju JF-Expert Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 2,341
  Likes Received: 1,049
  Trophy Points: 280
  iwe ni madeni au usajili wa merikebu za Irani zote ni dalili mbaya sana
   
 10. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  je wamejiuliza iran kuleta bidhaa bongo na kurudi na hela?Je wamejiuliza kama mzigo wa iran kufika bongo ni kufikia nchi kibao za africa na pengine za Asia?
   
 11. kibogo

  kibogo JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9,478
  Likes Received: 785
  Trophy Points: 280
  Hali ni mbaya kweli kwani hata nchi wahisani kwenye kapu la pamoja (basket fund) hawajakaa hadi oct ndo watakaa kupitia budget kwa hiyo inawezekana nao wapo kwenye mpango wa kusitisha misaada hiyo.
   
 12. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Vielelezo na nchi pleaz!!!
   
 13. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  kama unatumia wasomali kwanini zisifike?
   
 14. m

  mpya Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unachosema ni kweli kabisa maana nilijaribu kutafuta option zingine kuna jamaa yangu kaniambia unaweza tumia hao wasomali sasa hapo risk kibao
   
 15. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Nchi ambayo, kila kiongozi anajiamulia cha kusema na kufanya, raisi yeye kila kukicha anadai kadanganywa bt still hana ubavu wa kuwafukuza wanaomdanganya.
  Acha wasitishe misaada ili tukumbuke wajibu wetu kama taifa ktk kujitegemea.
   
 16. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #16
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  watakuweka wewe na uliyemtumia katika highlights zao kuwa ni mwanamtandao wa money laundering,na likitokea tatizo linahitaji wao kungalia record yake basi hutokuwa na nafasi njema sana.

  upuuzi na nguvu ya wenzetu ni kwamba wanaweza kuachia na hata mara nyingine ruhusu deal zako harama ziende ukadhani unapiga bao.Kumbe wao ndio wanaapprove ktk background before nyendo zako hazijawafikisha kwa big fishes ,katik hao big fishes wanawekewa mazingira ya kupata ushahidi wa kimahakama kwanza ili wakitibua basi isiwe shida. mahakamani.Kisha ndio hutibua.
   
 17. m

  mpya Member

  #17
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante sana kwa ushauri
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Mko nchi gani na mnatumia benki gani?
   
 19. M

  Mkandara Verified User

  #19
  Sep 18, 2012
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu pengine wewe mwenyewe ndio unakisiwa maana sisi tunatuma kama kawaida na hakuna kitu hicho...
   
 20. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #20
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,159
  Likes Received: 1,892
  Trophy Points: 280
  Wee kwani vipi? uzi si umeusoma? unacho sema ni ushabiki au?
   
Loading...