Madhara ya kuongeza maumbile ya kiume (uume) kwa mitishamba au kisasa

Baba jay'rose

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
1,130
2,000
Wanajukwa wasalaam,

Pamekua na matangazo mengi ya biashara ya dawa za kuombeza maumbile ya kiume kwenye mitandaoni na mitaani sasa sijui pengine mamlaka husika imedhibitisha ama Ni miongoni mwa biashara haramu?

Hoja ya msingi ni madhara yapi endapo mwanaume akaongeza maumbile yake either kwa urefu ama unene je madhara yapi yamoja kwa moja ama ya baadae yanaweza kumpata?

Nauliza hivo kwasababu najua kila kitu Mungu alikiumba katika hali ya kubalance kulingana na biological makeup ya mtu Sasa je vinavyoongezeka ufanisi unaweza ukawa sawa na uhalisia au utabadilika? Je, umri unapoongezeka uwezo utapungua Kama kawaida au utapungua visivyo kawaida?

Natanguliza shukrani kwa mwenye experience na hili swala akatoa ushuhuda pia kwa wataaamu was afya upande wa afya ya uzazi kwakina baba.

Ahsante!
 
permanides

JF-Expert Member
May 18, 2013
4,461

Kabla ya kuzungumzia madhara hayo je ni kweli kuna dawa hizo za kuongeza size?? Wadau kadhaa wamekuwa wakizitafuta lakini hakuna majibu ya kueleweka.
 
Ze last Born

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
1,157
2,000
Hivi engine ya passo ukiifunga kwenye fuso...hilo fuso litatembea kweli??
Na je vipi engine ya fuso ikifungwa kwenye passo??
My take: Kila mtu ameumbwa kivyake..hivyo ridhika na mwili wako no matter what!
Mungu ha-editiwi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom