Faida na madhara ya kuoga kwa maji ya moto

eti nasikia wanasema yanazeesha !
Hasa kokoliko ndio anazeeka haraka kweli.
Nakumbuka mzee mmoja tulikuwa tumekaa nae, ghafla akaanza kulia, huku akiangalia ndege wake aina ya kokoriko.
"We Mwaipungu, tumezaliwa pamoja, tumecheza pamoja, tumetahiriwa pamoja, tumeoa pamoja, tumenjunji pamoja, mbona unakufa kabla yangu"
Kilio kikazidi kuwa kikubwa.
"yaani leo hata kwa viagra umegoma kuinuka!!!"
Ikabidi wazee wenzake wampeleke chobingo kumtuliza kwa maneno ya busara.
USIOMBEE KOKOLIKO AFE MAPEMA KABLA YAKO
 
Kwa wanawake yanafanya naniliu pia kudebweda hahahaha,yanaharibu seli za ngozi.....duuuh we nomaa daslaaam then maji ya moto pole
 
hivi unaposema maji ya moto unamaanisha nini?
mimi naelewe ni maji ya uvuguvugu ambayo ni mazuri kwa afya
sasa kuna wengine wanakogea maji ya moto,, namaanisha yana joto la juuu sana,,haya yanaathiri ngozi,,
pia kama una wadudu wa malaria kwa mwili wako unatriga zile dalili za malaria,,
kuhusu kupunguza mbegu na nguvu za kiume hakuna uhalisia kama ni swala tu la kuoga,,, unanifurahisha georgeallen
ina maana wewe utakua unakaa kwa sinki la maji moto kama unakanda mguu uloteguka au?
there must be significant temperature, and significant time of exposure muda wa kutosha kuharibu uzalishaji wa sperms,,, anyway lakini kwa mazingira ya dar, maji moto, labda siku kama leo ambayo hali ya hewa inaruhusu hata kunaniliuuuu
 
Hakuna madhara yoyote kuoga maji ya moto. KAMA YANA MADHARA BASI WANAOTUMIA STIMU RUMU NA SAUNA WANAPATA UMOTO ZAIDI YA WEWE UTUMIAYE MAJI KWA KUOGA TU. NADHANI HAWA WANGEKUA WA KWANZA KUHOFU JUU YA AFYA ZAO KABLA YAKO NA MIMI

WATUMIAJI WA STIMU RUMU NA SAUNA WATAKUA WANANIPATA HAPA
 
maji ya moto kwa wanaume mishipa ya mzee huwa inazoea hata ikiingia ndani ya k***** joto lake huwa ni ndogo na kusababisha mwili uisisimke kama unavyotakiwa. tuweni makini na maji ya moto tuonge pale tu inapobidi lasivyo wengi ndoa zetu zitakuwa hazishikiki
 
Hivi we mzee unajua kuwa Comments zako na umri wako haviendani? Ukubwa hauna kengele punguza vituko
ahhhh.... mimi mbona babu kuliko Asprin.
Maisha bila vituko hayanogi bwana, wacha niendelee zangu ku have fun.
Wee mistress yote hii unafikiri tuta i handle vipi bila hivi hivi vituko?
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom