Madhara ya kuoga maji ya moto muda mrefu

Isumbwile

Isumbwile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Messages
806
Points
195
Isumbwile

Isumbwile

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2012
806 195
Habari zenu wana jf,mimi ni mdau mkubwa sana wa kuoga maji ya moto na nimekuwa addicted kuoga maji ya moto for almost 4 years now. So nauliza je kuna madhara gani Kiafya kuoga maji ya moto for a long tym?, Nb:naishi Dar
 
Isaac Chikoma

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2011
Messages
490
Points
195
Isaac Chikoma

Isaac Chikoma

JF-Expert Member
Joined Oct 25, 2011
490 195
sidhani kama yana madhara yoyote,ni mazuri kwa usafi wa ngozi.
 
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
11,023
Points
1,250
LiverpoolFC

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
11,023 1,250
Isumbwile

Tangu mwaka 2000 sijawahi kuoga na maji ya baridi!

Na sijawahi kuona tatizo lolote!
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
45,380
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
45,380 2,000
eti nasikia wanasema yanazeesha !
Hasa kokoliko ndio anazeeka haraka kweli.
Nakumbuka mzee mmoja tulikuwa tumekaa nae, ghafla akaanza kulia, huku akiangalia ndege wake aina ya kokoriko.
"We Mwaipungu, tumezaliwa pamoja, tumecheza pamoja, tumetahiriwa pamoja, tumeoa pamoja, tumenjunji pamoja, mbona unakufa kabla yangu"
Kilio kikazidi kuwa kikubwa.
"yaani leo hata kwa viagra umegoma kuinuka!!!"
Ikabidi wazee wenzake wampeleke chobingo kumtuliza kwa maneno ya busara.
USIOMBEE KOKOLIKO AFE MAPEMA KABLA YAKO
 
mtoto mpole

mtoto mpole

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2010
Messages
679
Points
0
mtoto mpole

mtoto mpole

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2010
679 0
Kwa wanawake yanafanya naniliu pia kudebweda hahahaha,yanaharibu seli za ngozi.....duuuh we nomaa daslaaam then maji ya moto pole
 
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,815
Points
2,000
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,815 2,000
hasa kokoliko ndio anazeeka haraka kweli.
Nakumbuka mzee mmoja tulikuwa tumekaa nae, ghafla akaanza kulia, huku akiangalia ndege wake aina ya kokoriko.
"we mwaipungu, tumezaliwa pamoja, tumecheza pamoja, tumetahiriwa pamoja, tumeoa pamoja, tumenjunji pamoja, mbona unakufa kabla yangu"
kilio kikazidi kuwa kikubwa.
"yaani leo hata kwa viagra umegoma kuinuka!!!"
ikabidi wazee wenzake wampeleke chobingo kumtuliza kwa maneno ya busara.
Usiombee kokoliko afe mapema kabla yako
duniani kuna vituko tetetete u made my day
 
chiko

chiko

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Messages
486
Points
195
chiko

chiko

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2010
486 195
Hasa kokoliko ndio anazeeka haraka kweli.
Nakumbuka mzee mmoja tulikuwa tumekaa nae, ghafla akaanza kulia, huku akiangalia ndege wake aina ya kokoriko.
"We Mwaipungu, tumezaliwa pamoja, tumecheza pamoja, tumetahiriwa pamoja, tumeoa pamoja, tumenjunji pamoja, mbona unakufa kabla yangu"
Kilio kikazidi kuwa kikubwa.
"yaani leo hata kwa viagra umegoma kuinuka!!!"
Ikabidi wazee wenzake wampeleke chobingo kumtuliza kwa maneno ya busara.
USIOMBEE KOKOLIKO AFE MAPEMA KABLA YAKO

LOL, bujibuji umenichekesha saaaana, hapo kwenye nyekundu!!!!!, inakaa weye ni mzee wa kijiweni!
 
M

MLERAI

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Messages
672
Points
225
M

MLERAI

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2012
672 225
Madhara yake ni kuwa yana joto kwahiyo yanaweza kukushawishi ukapiga nyeto.
 
Dero

Dero

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Messages
327
Points
225
Dero

Dero

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2010
327 225
Hasa kokoliko ndio anazeeka haraka kweli.
Nakumbuka mzee mmoja tulikuwa tumekaa nae, ghafla akaanza kulia, huku akiangalia ndege wake aina ya kokoriko.
"We Mwaipungu, tumezaliwa pamoja, tumecheza pamoja, tumetahiriwa pamoja, tumeoa pamoja, tumenjunji pamoja, mbona unakufa kabla yangu"
Kilio kikazidi kuwa kikubwa.
"yaani leo hata kwa viagra umegoma kuinuka!!!"
Ikabidi wazee wenzake wampeleke chobingo kumtuliza kwa maneno ya busara.
USIOMBEE KOKOLIKO AFE MAPEMA KABLA YAKO
Umenichekesha!!!
 
smallvile

smallvile

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Messages
495
Points
250
smallvile

smallvile

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2012
495 250
hivi unaposema maji ya moto unamaanisha nini?
mimi naelewe ni maji ya uvuguvugu ambayo ni mazuri kwa afya
sasa kuna wengine wanakogea maji ya moto,, namaanisha yana joto la juuu sana,,haya yanaathiri ngozi,,
pia kama una wadudu wa malaria kwa mwili wako unatriga zile dalili za malaria,,
kuhusu kupunguza mbegu na nguvu za kiume hakuna uhalisia kama ni swala tu la kuoga,,, unanifurahisha georgeallen
ina maana wewe utakua unakaa kwa sinki la maji moto kama unakanda mguu uloteguka au?
there must be significant temperature, and significant time of exposure muda wa kutosha kuharibu uzalishaji wa sperms,,, anyway lakini kwa mazingira ya dar, maji moto, labda siku kama leo ambayo hali ya hewa inaruhusu hata kunaniliuuuu
 
P

prince pepe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Messages
215
Points
0
P

prince pepe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2012
215 0
Hakuna madhara yoyote kuoga maji ya moto. KAMA YANA MADHARA BASI WANAOTUMIA STIMU RUMU NA SAUNA WANAPATA UMOTO ZAIDI YA WEWE UTUMIAYE MAJI KWA KUOGA TU. NADHANI HAWA WANGEKUA WA KWANZA KUHOFU JUU YA AFYA ZAO KABLA YAKO NA MIMI

WATUMIAJI WA STIMU RUMU NA SAUNA WATAKUA WANANIPATA HAPA
 
P

prince pepe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2012
Messages
215
Points
0
P

prince pepe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2012
215 0
Madhara yake ni kuwa yana joto kwahiyo yanaweza kukushawishi ukapiga nyeto.
Umenikumbusha wimbo mmoja ktk soka

Aya weeh, aya weeeh, piga ..... ujinga ukutoke
 
Isumbwile

Isumbwile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Messages
806
Points
195
Isumbwile

Isumbwile

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2012
806 195
Thanks wadau kwa mawazo... :smiling:
 
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
3,577
Points
1,195
M

Mwanaweja

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
3,577 1,195
maji ya moto kwa wanaume mishipa ya mzee huwa inazoea hata ikiingia ndani ya k***** joto lake huwa ni ndogo na kusababisha mwili uisisimke kama unavyotakiwa. tuweni makini na maji ya moto tuonge pale tu inapobidi lasivyo wengi ndoa zetu zitakuwa hazishikiki
 
Forum statistics

Threads 1,326,067
Members 509,390
Posts 32,210,292
Top