Madhara ya kula nyama ya Nguruwe/Kitimoto kwa afya yako...

Hana mpya huyo. Kakurupuka tu na hiyo info kutoka ABC bila ku-digest. Tunamsaidia kumpiga shule analeta ubishi. Nikagundua kuwa nasomesha degree kwa mtoto wa miaka minne! Nimem-shit na elimu yake finyu ya minyoo. Isitoshe akienda lab huyo, anaweza kutwa na hiyo minyooo....

Mwanjelwa umeplay hiyo video ya ABC ukamsikia Doctor anavyoongea?, click kwenye hiyo picha ya huyo dada kama Internet yako ina-speed ya kutosha usikie Dr. Anasema nini.

Kitu unachotakiwa kufahamu ni kuwa "Nguruwe ni hatari" kwa afya yako. Sasa mimi sijahoji uhalali wa mtu kula nguruwe unapokula ujue kuwa unaweza kuwa unahatarisha maisha yako.

Ninajua pengine utakuwa na moyo mgumu kukubali hali halisi huenda kutokana na mazoea au tabia uliyojijengea ya kumla mnyama huyu, hilo usihofu huenda bado hujaathirika cha muhimu ni kuchukua tahadhari.

Unajua hii imekuwa kama vile mtu ukipima HIV ukakutwa ni positive huwa inakuwa tabu mwanzo kuamini kama vipimo vinasema kweli ila baadae unakuja kukubali kuwa ni kweli hawa jamaa wapo mwilini mwangu.

Sijasema kwamba wala kitimoto wote wana minyoo kwenye brain, la hasha ila ninachosema ni kwamba utamaduni wa kula huyu mnyama tena kwa mazingira kama ya bongo ambao hata ufugaji wake ni tata na utayarishaji wake wa kwenye ma-bar ambako order zinakuwa nyingi kuliko uwezo wa processor kuna hatari ya kujikuta unapata madhara in a long ran. Sasa kubali kataa ukweli ndiyo huo kuhusu "Pork".
 
/QUOTE].......Sijasema kwamba wala kitimoto wote wana minyoo kwenye brain, la hasha ila ninachosema ni kwamba utamaduni wa kula huyu mnyama tena kwa mazingira kama ya bongo ambao hata ufugaji wake ni tata na utayarishaji wake wa kwenye ma-bar ambako order zinakuwa nyingi kuliko uwezo wa processor kuna hatari ya kujikuta unapata madhara in a long ran. Sasa kubali kataa ukweli ndiyo huo kuhusu "Pork"........

Nimeiona hiyo picha yote. Pia nakupa hi kwa umeongea sasa. Umeongea kwa kweli. Taenia solium ni mmoj tu katika minyoo hatari sana iliyopo nchini Tanzania na jirani. Ila muhimu ni kuwa kwa namna ile kitimoto inavyofungwa na inavyoandaliwa bongo, mtu yeyote anaweza pata ile minyoo ya kitimoto bila kujali ni mteja au hapana. Nilisisitiza usafi kwa kila chakula. Na wewe sisitiza hilo
 
Hofstede,

Kabla sijakuita mwongo wa kuchomwa na tanuru la makaa ya mawe naomba uonyeshe ni wapi iliposemwa kwamba ugonjwa huo unatokana na kula nyama ya mnyama huyo, kutoka katika hii taarifa uliyotuwekea kama chanzo cha habari na ushauri wako:

Kuhani, Click hiyo picha ya huyo dada uplay video ya Operation na maelezo ya Doctor kuhusu sababu ya kukutwa "taenia solium" eating the brain.

Je ni wangapi bongo wanakufa ghafla na bila kujua source ya kifo?, ni hapo tutakapokuwa na utamaduni wa kucheki afya zetu ndiyo tutagundua vitu vingi kuhusu vyakula mbali mbali, "Nguruwe aka kitimoto" ametokea kuwa ni moja ya biashara nzuri na nyama yake imetokea kupendwa sana na watu wa lika mbalimbali, lakini ni lazima tujue kuwa wanaotumia nyama hii wanaji-expose kwenye risk ya kupatwa na magonjwa kama ya huyu dada.

sasa taarifa unazo ni wewe kuamua kuchukua tahadhari au kuipuuza. Hata ukimwi watu wanaambiwa wasifanye au watumie condom ila kuna watu bado wanapuuzia, ni kweli kuna waliopuuzia na hawajaambukizwa ila kuna wengi wapo katika risk ya kuambukizwa au wameambukizwa. " Uamuzi ni wako, kusema tu wewe muongo haitafanya nguruwe kuwa safe"
 
/QUOTE].
Nimeiona hiyo picha yote. Pia nakupa hi kwa umeongea sasa. Umeongea kwa kweli. Taenia solium ni mmoj tu katika minyoo hatari sana iliyopo nchini Tanzania na jirani. Ila muhimu ni kuwa kwa namna ile kitimoto inavyofungwa na inavyoandaliwa bongo, mtu yeyote anaweza pata ile minyoo ya kitimoto bila kujali ni mteja au hapana. Nilisisitiza usafi kwa kila chakula. Na wewe sisitiza hilo

Usafi ni jambo muhimu kwa afya ya binadamu, ila hebu jiulize huyu dada pork alinunua wapi?, Wenzetu vyakula karibu vyote wananunua "Supermarkets", hiyo nyama huyo dada alinunua supermarket na usafi kwao ni priority. Issue hapa pig's fresh is soft na hivyo kucreate conducive environment ya worms to move within the body of live pig, nguruwe huyu akichinjwa kwa ajili ya meat worms huwa wanakuwa ndani ya fresh na siyo nje, hivyo hata ukiosha nje bado haisaidii, Labla useme umcheshe kwa muda mrefu, swali ni je na wale wanaopenda wa ku-roast?, hapo ndipo kwenye hatari yenyewe.
 
.... Wenzetu vyakula karibu vyote wananunua "Supermarkets", hiyo nyama huyo dada alinunua supermarket na usafi kwao ni priority. .

Unapenda sana kukomalia issue. Kununua supermarket siyo guarantee ya usafi. Na inapoongelewa usafi, ina maana vyote, kununua, kutengeneza, kupika mpaka kuiva na kuliwa. Check hii habari yangu kwa miwani, kama macho mabovu.

Nakuacha rasmi na hii webiste.. Itakuongoza kwa nyingine uweze kupambanua minyoo kwa kina:

http://www.timesonline.co.uk/tol/life_and_style/food_and_drink/real_food/article5098893.ece
 
Rosemary Alvarez alijikuta akiwa na maumivu ya kichwa na mkono kukosa nguvu. baada ya kufanyiwa scanning ikaoneka kama ni "brain tumor", pindi alipofanyiwa upasuaji alikutwa na "mnyoo (taenia solium)" akiwa hai unakula brain yake. Chanzo hasa cha mnyoo huo ni kula nyama ya nguruwe ambayo kitaalamu anaprotein nyingi kuliko mnyama yoyote na hivyo kuvutia parasite wengi kwa mnyama huyu . Je ni watanzania wangapi wanapata uangalizi wa kugundua afya zao na wanakula nyama hii kila siku tena inayofugwa katika mazingira si salama?. soma zaidi kwenye link hii hapa chini

Source : ABC News: It's Not a Tumor, It's a Brain Worm

Angalia hapa Mchina huyu pia akitolewa minyoo mingi usoni ambayo pia ilisababishwa na utamaduni wa kula nyama ya nguruwe:

YouTube - Worm inside your face

Je wewe ni mpenzi wa kitimoto?, fikiria tena.

Hii ni kweli kabisa. Na sasa hivi kuna watu wengi tu wanaikimbia kiti moto. Pamoja na hayo kwenye nchi za magharbi kama Marekani, UK na nyinginezo ambako kiti moto kina umaarufu mkubwa mbona hatusikii athari hizo ukilinganisha na junk foods pamoja na kuwa mfalme wa meza amekuwa akiliwa miaka nenda miaka rudi?
 
Hii ni kweli kabisa. Na sasa hivi kuna watu wengi tu wanaikimbia kiti moto.

Pamoja na hayo kwenye nchi za magharbi kama Marekani, UK na nyinginezo ambako kiti moto kina umaarufu mkubwa mbona hatusikii athari hizo ukilinganisha na junk foods pamoja na kuwa mfalme wa meza amekuwa akiliwa miaka nenda miaka rudi?

Sasa Bubu, kama unasema ni kweli kabisa, mboina hujiulizi ni kwa nini hicho kitu ilichokisema kuhusu ulaji wa mnyama huyu Magharibi haki cripple huo "ukweli' ?

Ni hivi Bubu, Hofstede ni mwongo. Link aliyoweka, ya ABC News Medicine, inasema wazi wazi kabisa kwamba sio ulaji wa mnyama huyu ndio unasababisha ugonjwa huu. Ila ni chakula chochote kile kichafu chafu chenye mayai ya minyoo hii. Nisikie Bubu, wametoa mfano wa kula lettuce, kama vile ya kwenye burger ya beef, ikiwa na uchafu huo basi utapata ugonjwa huo. Na wakasema kabisa kwamba ukila huyu mnyama hata kama nyama haijaiva vizuri na ukapata vifuko (cyst) za minyoo hiyo bado hautaugua hala ukila siku nzima. Kwa hiyo utaona, Bubu, tatizo hapa ni uchafu na sio kula huyo mnyama.

Hofstede anajua hivyo kabisa lakini anadhani watu hawatafungua hiyo link yake kuisoma. Ni mwongo wa kutupwa na kuchomwa moto. Ana political agenda yake. Au ni kilaza ambae hajui kilichoandikwa kwenye ile taarifa ya ABC News Medicince aliyotuwekea yeye mwenyewe. Mi nime mmaindi sana kwa sababu, kama wataalam wengi wa hapa JF walivyo, anatuchukulia for granted.
 
kila kitu kina risk sikuhizi, nikitoka nje naweza gongwa na gari nikafa. So nguruwe ni risk kama zilivyo risk nyingine. Hivi nyie mnaopiga vita nguruwe mmewahi kula "grilled pork ribs"? anu spicy pork sausages? acheni tu! tuacheni tule. Sigara zinavutwa na pombe zinanywewa despite the known risks.
 
Hofstede anajua hivyo kabisa lakini anadhani watu hawatafungua hiyo link yake kuisoma. Ni mwongo wa kutupwa na kuchomwa moto. Ana political agenda yake. Au ni kilaza ambae hajui kilichoandikwa kwenye ile taarifa ya ABC News Medicince aliyotuwekea yeye mwenyewe. Mi nime mmaindi sana kwa sababu, kama wataalam wengi wa hapa JF walivyo, anatuchukulia for granted.

Kuhani mbona sasa unarudia kosa alilolifanya bubu?

Mara unasema "Hofstede anajua hivyo..."

Mara unasema "Au ni Kilaza amabae hajui kilichoandikwa..."

If you appreciate the importance of context and an array of possibilities you shouldn't be so critical of Bubu's judgement according to the then available knowledge while pressing for more information.

After all, all our judgements are based on limited knowledge.To acknowledge that,as did Newton and other sages, is the height of knowledge.
 
Sasa Bubu, kama unasema ni kweli kabisa, mboina hujiulizi ni kwa nini hicho kitu ilichokisema kuhusu ulaji wa mnyama huyu Magharibi haki cripple huo "ukweli' ?

Ni hivi Bubu, Hofstede ni mwongo. Link aliyoweka, ya ABC News Medicine, inasema wazi wazi kabisa kwamba sio ulaji wa mnyama huyu ndio unasababisha ugonjwa huu. Ila ni chakula chochote kile kichafu chafu chenye mayai ya minyoo hii. Nisikie Bubu, wametoa mfano wa kula lettuce, kama vile ya kwenye burger ya beef, ikiwa na uchafu huo basi utapata ugonjwa huo. Na wakasema kabisa kwamba ukila huyu mnyama hata kama nyama haijaiva vizuri na ukapata vifuko (cyst) za minyoo hiyo bado hautaugua hala ukila siku nzima. Kwa hiyo utaona, Bubu, tatizo hapa ni uchafu na sio kula huyo mnyama.

Hofstede anajua hivyo kabisa lakini anadhani watu hawatafungua hiyo link yake kuisoma. Ni mwongo wa kutupwa na kuchomwa moto. Ana political agenda yake. Au ni kilaza ambae hajui kilichoandikwa kwenye ile taarifa ya ABC News Medicince aliyotuwekea yeye mwenyewe. Mi nime mmaindi sana kwa sababu, kama wataalam wengi wa hapa JF walivyo, anatuchukulia for granted.

Kuhani naona nimegusa maslahi yako. Kama internet yako inaweza kuplay hiyo clip, click picha ya huyo dada umsikilize Doctor anasema nini. Unapofikia conclusion ya kunituhumu mimi ni muongo hapo sasa wewe ndiyo unaleta political agenda na si mimi, what i did is to give you everything on the table, sasa ni juu yako wewe kuchukua au kuacha ila mwisho wa siku wewe na nafsi yako mtakubali kuwa "What i did is for your benefit". Kila siku vitu vizuri watu huwa wanaviangalia on one side na kupinga worse side. "Nguruwe ni hatari sana kwa afya yako". Uchaguzi ni wako kwani mimi nilichofanya ni kukuwekea ukweli kuhusu mnyama huyu pendwa.
 
Kuhani najua wewe ndiyo hukusoma na kama umesoma wewe ndiyo kilaza (huna meno unataka kutafuniwa) here's the article:

By LAUREN COX
ABC News Medical Unit
Nov. 24, 2008

Late last summer, Rosemary Alvarez of Phoenix thought she had a brain tumor. But on the operating table her doctor discovered something even more unsightly -- a parasitic worm eating her brain.

Doctors say the worm could have come from eating tainted food. Alvarez, 37, was first referred to the Barrow Neurological Institute at St. Joseph's Hospital and Medical Center in Phoenix with balance problems, difficulty swallowing and numbness in her left arm.

An MRI scan revealed a foreign growth at her brain stem that looked just like a brain tumor to Dr. Peter Nakaji, a neurosurgeon at the Barrow Neurological Institute.

"Ones like this that are down in the brain stem are hard to pick out," said Nakaji. "And she was deteriorating rather quickly, so she needed it out."

Yet at a key moment during the operation to remove the fingernail-sized tumor, Nakaji, instead, found a parasite living in her brain, a tapeworm called Taenia solium, to be precise.

When Alvarez awoke, she heard the good news that she was tumor-free and she would make a full recovery. But she also heard the disturbing news of how the worm got there in the first place.

Nakaji said someone, somewhere, had served her food that was tainted with the feces of a person infected with the pork tapeworm parasite.

"It wasn't that she had poor hygiene, she was just a victim," said Nakaji.

Pork Tapeworms a Small, But Growing Trend
"We've got a lot more of cases of this in the United States now," said Raymond Kuhn, professor of biology and an expert on parasites at Wake Forest University in Winston-Salem, N.C. "Upwards of 20 percent of neurology offices in California have seen it."
The pork tapeworm has plagued people for thousands of years. The parasite, known as cysticercosis, lives in pork tissue, and is likely the reason why Jewish and Muslim dietary laws ban pork.

Kuhn said whether you get a tapeworm in the intestine, or a worm burrowing into your brain can depend on how you consumed the parasite.

How Humans Get Worms
Eat the parasite in tainted meat and you'll end up eating the larvae, called cysts. Kuhn said in that case, a person can only end up with a tapeworm.

You can eat cysts all day long and it won't get into your brain," said Kuhn. Instead, the larvae go through the stomach and mature in the intestine.

"When it gets down into their small intestine, it latches on, and then it starts growing like an alien," said Kuhn.

Once there, the tapeworm starts feeding and gets to work. A single tapeworm will release 50,000 eggs a day, most of which usually end up in the toilet.

"They can see these little packets pass in their feces," said Kuhn. "And ... sometimes people eat the eggs from feces by accident."

Kuhn said it is then feces-tainted food, and not undercooked pork, that leads to worms burrowing into the brain.

Unlike the cysts, the eggs are able to pass from the stomach into the bloodstream. From there, the eggs may travel and lodge in various parts of the body -- including the muscle, the brain or under the skin -- before maturing into cysts themselves.

According to Kuhn, who has traveled to study this parasite, cysticercosis is a big problem in some parts of Latin America and Mexico where health codes are hard to enforce and people may frequently eat undercooked pork.

'Hidden' Brain Abnormalities CommonAs people travel across the border with Mexico for vacation and work, Kuhn said so does the tapeworm. One person infected with a parasite, who also has bad hand washing habits, can infect many others with eggs.

"These eggs can live for three months in formaldehyde," said Kuhn. "You got to think, sometimes, a person is slapping lettuce on your sandwich with a few extra add-ons there."

Getitng the Worms Out
Dr. Christopher Madden, an assistant professor in the University of Texas Southwestern department of neurological surgery in Dallas, has operated on a number of these cysts himself. He said not every worm needs to be surgically removed; those whose location is not an immediate threat to the patient's health can be treated with medications that cause the worms to die.

But when the cysts are in problematic locations, as was the case for Alvarez, an operation is necessary. Fortunately, the long-term prognosis for most patients is positive.

"Most patients we see actually do very well with medicines and/or surgery to take out a large cyst," Madden said.

Alvarez is not alone in accidentally eating tainted food, but Nakaji rarely sees cases so severe that people require surgery. Nakaji said he only removed six or seven worms in neurosurgery this year.

"But lodging in the brain stem is bad luck," he said.

Nakaji said other parts of the brain have more "room" or tissue to expand around a growing cyst. However the brain stem, which is crucial to life, is only the width of a finger or two.

"She could have recovered," said Nakaji. "But if the compression lasted for long enough, she could have been left permanently disabled or dead."

If you read the article utaona kwamba mwandishi amejaribu sana kupunguza ukali wa kuvunja soko la pork lakini kalazimika kuongea ukweli kuwa sorce ni "Pork worms" na hawa wanaishi kwenye mwili wa nguruwe.
 
If you appreciate the importance of context and an array of possibilities you shouldn't be so critical of Bubu's judgement according to the then available knowledge while pressing for more information.

After all, all our judgements are based on limited knowledge.To acknowledge that,as did Newton and other sages, is the height of knowledge.

Pundit,

Jibu moja kwa moja kinachohojiwa bila kuzunguka mibuyu kwa urefu wa mikorogo, longolongo na obfuscation.

Nimesema Hofsede ni mtunga uongo kwa sababu ameweka article ambayo inasema wazi wazi kwamba hata ukishinda kutwa unakula nyama mbichi ya mnyama huyo utakachopata ni vifuko (cyst) za minyoo hiyo, ambayo inaenda kwenye mfumo wa chakula (alimentary canal) na kutoka na haja kubwa kama mayai. Hutaugua.

Ni mpaka ule hivi vi mayai kwa njia yeyote ile, hata mboga za lettuce kwenye beef burger iliyotayarishwa na mtu asiyeosha mikono baada ya kutoka chooni ndio hapo utapata haya mayai. Haya mayai - tofauti na cyst - ndio yanaweza kuingia katika blood stream na kusambaa mwilini hta ubongoni.

Sasa Pundit andika kama mwanamme/mke asiyeogopa, usijifiche nyuma ya speciousness na obfuscation. Kama unasema kuna context ionyeshe hiyo context, usinambia "Isack Newton kasema yiddy yaddy yiddy..."Mbona mimi siogopi kusema wazi nikiwa na ushahidi kusema Hofstede ni mwongo kwa sababu amesema kitu ambacho kiko kinyume na link aliyotuwekea hapa ?

"Nguruwe ni hatari sana kwa afya yako".

Hostede,

Ni kweli nyama ya mnyama huyo sio the healthiest diet out there kwa sababu amejaa mifuta.

Lakini usilete false and mad science kwamba ni ulaji wa nyama yake ndio unasababisha huo ugonjwa.

Usilete uongo kwamba "sorce ni Pork worms na hawa wanaishi kwenye mwili wa nguruwe," sio kweli. Ni cyst ndio zinaishi humo, ambazo ukila hazigeuki minyoo. Mpaka ule uchafu wowote wenye mayai!

Kabla ya kukuambia kwamba wewe ni mwongo wa kuzaliwa bado nasubiri references kwamba:
1 ) mnyama huyo ana protein nyingi kuliko samaki, kuku, beef na turkey
2) uwingi wa protein hiyo ndio unavutia parasite.

Halafu ukimaliza hilo, onyesha cited reference au thibitisha vyovyote vile unavyojua, madai yako mapya kwamba ni ulaini wa nyama ya mnyama huyo ndio unavutia parasite kwake.
 
Pundit,

Jibu moja kwa moja kinachohoji bila kuzunguka mibuyu kwa urefu wa mikorogo, longolongo na obfuscation.

Nimesema Hofsede ni mtunga uongo kwa sababu ameweka article ambayo inasema wazi wazi kwamba hata ukishinda kutwa unakula nyama mbichi ya mnyama huyo utakachopata ni vifuko (cyst) za minyoo hiyo, ambayo inaenda kwenye mfumo wa chakula (alimentary canal) na kutoka na haja kubwa kama mayai. Hutaugua.

Ni mpaka ule hivi vi mayai kwa njia yeyote ile, hata mboga za lettuce kwenye beef burger iliyotayarishwa na mtu asiyeosha mikono baada ya kutoka chooni ndio hapo utapata haya mayai. Haya mayai - tofauti na cyst - ndio yanaweza kuingia katika blood stream na kusambaa mwilini hta ubongoni.

Sasa Pundit andika kama mwanamme/mke asiyeogopa, usijifiche nyuma ya speciousness na obfuscation. Kama unasema kuna context ionyeshe hiyo context, usinambia "Isack Newton kasema yiddy yaddy yiddy..."Mbona mimi siogopi kusema wazi nikiwa na ushahidi kusema Hofstede ni mwongo kwa sababu amesema kitu ambacho kiko kinyume na link aliyotuwekea hapa ?

Ni kweli Hostede.

Ni kweli nyama ya mnyama huyo sio the healthiest diet out there kwa sababu amejaa mifuta.

Lakini usilete false and mad science kwamba ni ulaji wa nyama yake ndio unasababisha huo ugonjwa.

Usilete uongo kwamba "sorce ni Pork worms na hawa wanaishi kwenye mwili wa nguruwe," sio kweli. Ni cyst ndio zinaishi humo, ambazo ukila hazigeuki minyoo. Mpaka ule uchafu wowote wenye mayai!

Kabla ya kukuambia kwamba wewe ni mwongo wa kuzaliwa bado nasubiri references kwamba:
1 ) mnyama huyo ana protein nyingi kuliko samaki, kuku, beef na turkey
2) uwingi wa protein hiyo ndio unavutia parasite.

Halafu ukimaliza hilo, onyesha cited reference au thibitisha vyovyote vile unavyojua, madai yako mapya kwamba ni ulaini wa nyama ya mnyama huyo ndio unavutia parasite kwake.

Sasa Bubu, kama unasema ni kweli kabisa, mboina hujiulizi ni kwa nini hicho kitu ilichokisema kuhusu ulaji wa mnyama huyu Magharibi haki cripple huo "ukweli' ?

Hapa umeshindwa ku appreciate kwamba Bubu kwa mujibu wa information alizo nazo, anaona ni kweli kabisa.Lakini hili halimzuii kuwa open minded enough kujiuliza hilo swali la ku compare sisi na magharibi.Unaona haiwezekani kwa mtu mmoja kusema ni kweli Nguruwe wanasababisha maradhi halafu hapo hapo ku entertain doubt kwamba kama kweli nguruwe wanaleta maradhi mbona west watu hawapati maradhi haya. Hukubali hii inconsistency.

Halafu wewe yule yule ambaye umeshaweka standard ya kutokukubaliana na inconsistency unaleta inconsistency yako.

Ni hivi Bubu, Hofstede ni mwongo. Link aliyoweka, ya ABC News Medicine, inasema wazi wazi kabisa kwamba sio ulaji wa mnyama huyu ndio unasababisha ugonjwa huu. Ila ni chakula chochote kile kichafu chafu chenye mayai ya minyoo hii. Nisikie Bubu, wametoa mfano wa kula lettuce, kama vile ya kwenye burger ya beef, ikiwa na uchafu huo basi utapata ugonjwa huo. Na wakasema kabisa kwamba ukila huyu mnyama hata kama nyama haijaiva vizuri na ukapata vifuko (cyst) za minyoo hiyo bado hautaugua hala ukila siku nzima. Kwa hiyo utaona, Bubu, tatizo hapa ni uchafu na sio kula huyo mnyama.

Hofstede anajua hivyo kabisa lakini anadhani watu hawatafungua hiyo link yake kuisoma. Ni mwongo wa kutupwa na kuchomwa moto. Ana political agenda yake. Au ni kilaza ambae hajui kilichoandikwa kwenye ile taarifa ya ABC News Medicince aliyotuwekea yeye mwenyewe. Mi nime mmaindi sana kwa sababu, kama wataalam wengi wa hapa JF walivyo, anatuchukulia for granted.

Which is which? Mwongo au Kilaza? Umeshasema categorically tena kwa kashfa nzito kwamba ni mwingo wa kutupwa na kuchomwa moto, halafu unakuja na kusuasua kwamba "Au" ni kilaza.

Je unaweza kumhukumu mtu kwa uongo wakati huna uhakika?

Standard zako mwenyewe zinakushinda.
 
Pundit,

Bubu Ataka Kusema kasema hivi:
Hii ni kweli kabisa. Na sasa hivi kuna watu wengi tu wanaikimbia kiti moto. Pamoja na hayo kwenye nchi za magharbi kama Marekani, UK na nyinginezo ambako kiti moto kina umaarufu mkubwa mbona hatusikii athari hizo ukilinganisha na junk foods pamoja na kuwa mfalme wa meza amekuwa akiliwa miaka nenda miaka rudi?

Kwa maneno mengine, Bubu ameshakubali, amesha declare, categorically kwamba ni ulaji wa mnyama huyu ndio unasababisha haya magonjwa. Sasa utakujaje tena hapo hapo aka question kutokuwepo kwa wingi wa ugonjwa huo Magharibi ambako ndio wamekithiri kwa kula nguruwe ?

Ilibidi assertion yake ya "ni kweli kabisa" aiachie room for qualification na au total revocation. Ni sawa na kusema, kwa mfano, "Wachaga wanajipendelea, wamejaa CHADEMA, hata hivyo inawezekana sio kweli kwa sababu kuna Waha wa kigoma." Umesha conclude kwamba Wachaga ni wakabila, hakuna ifs ands and buts hapo.

Kuhusu Hofstede,

Umepatia kabisa kwamba Hofstede hawezi kuwa kilaza halafu akawa mwongo at the same time. Aidha ni kilaza -yaani hakuelewa alichosoma. Au ni mwongo - yaani kaelewa akadanganya. Nilitakiwa kuchagua moja. Nilikosea.

Hofstede ni mwongo maana anafanya makusudi kwa vile article inasema wazi wazi kwamba huwezi kupata ugonjwa kwa kula cysts.
 
Xp, endelea mbele kidogo kitabu na sura hiyo hiyo utakuta Sungura na Ngamia katika kundi hilohilo!

Ukishamalia kuelewa haya ya nguruwe na madhara yake, kisha waweza weka mada ya nyama unazozitaka, kama ngamia, mbuzi ng'ombe samaki au sungura nk....! Wacha tumalize hii kwanza... sawa kijana!
 
PIG & PORK FACTS

A pig is a real garbage gut. It will eat anything including urine, excrement, dirt, decaying animal flesh, maggots, or decaying vegetables. They will even eat the cancerous growths off other pigs or animals.

The meat and fat of a pig absorbs toxins like a sponge. Their meat can be 30 times more toxic than beef or venison.

When eating beef or venison, it takes 8 to 9 hours to digest the meat so what little toxins are in the meat are slowly put into our system and can be filtered by the liver. But when pork is eaten, it takes only 4 hours to digest the meat. We thus get a much higher level of toxins within a shorter time.

Unlike other mammals, a pig does not sweat or perspire. Perspiration is a means by which toxins are removed from the body. Since a pig does not sweat, the toxins remain within its body and in the meat.

Pigs and swine are so poisonous that you can hardly kill them with strychnine or other poisons.

Farmers will often pen up pigs within a rattlesnake nest because the pigs will eat the snakes, and if bitten they will not be harmed by the venom.

When a pig is butchered, worms and insects take to its flesh sooner and faster than to other animal's flesh. In a few days the swine flesh is full of worms.

Swine and pigs have over a dozen parasites within them, such as tapeworms, flukes, worms, and trichinae. There is no safe temperature at which pork can be cooked to ensure that all these parasites, their cysts,and eggs will be killed.

Pig meat has twice as much fat as beef. A 3 oz T bone steak contains 8.5 grams of fat; a 3 oz pork chop contains 18 grams of fat. A 3 oz beef rib has 11.1 grams of fat; a 3 oz pork spare rib has 23.2 grams of fat.

Cows have a complex digestive system, having four stomachs. It thus takes over 24 hours to digest their vegetarian diet causing its food to be purified of toxins. In contrast, the swine's one stomach takes only about 4 hours to digest its foul diet, turning its toxic food into flesh.

The swine carries about 30 diseases which can be easily passed to humans.

The trichinae worm of the swine is microscopically small, and once ingested can lodge itself in our intestines, muscles, spinal cord or the brain. This results in the disease trichinosis. The symptoms are sometimes lacking, but when present they are mistaken for other diseases, such as typhoid, arthritis, rheumatism, gastritis, MS, meningitis, gall bladder trouble, or acute alcoholism.

The pig is so poisonous and filthy, that nature had to prepare him a sewer line or canal running down each leg with an outlet in the bottom of the foot. Out of this hole oozes pus and filth his body cannot pass into its system fast enough. Some of this pus gets into the meat of the pig.
 
Source ?

Off topic!
 
CAN EATING PORK & SHELLFISH DESTROY YOUR HEALTH?

By Greg Ciola

October 20, 2007

NewsWithViews.com

This topic is one that some will disagree with, others may not want to hear, or in some cases with Christians, they will take offense with because they believe Jesus doesn't care what we eat. I'm not trying to be legalistic when it comes to why we should avoid pork and shellfish. I'm trying to be realistic and share some health insights into why these foods could be dangerous to your health. If you want to live a long, disease-free life while you're occupying your body, then this issue is one you need to pay close attention to.

The cold hard truth is consuming pork and shellfish regularly can guarantee you an early trip to the grave. Pork and shellfish rank near the top of the list as some of the worst foods you can put into your body right along with trans fats, refined sugar, and artificial sweeteners. Consumption of these foods was forbidden to the ancient Israelites in the books of Leviticus and Deuteronomy because they were considered unclean. To this day Orthodox Jews and Muslims avoid pork and shellfish.

There's a very simple reason why God wanted the Israelites to avoid these foods and it wasn't because He wanted to make arbitrary rules just to test their obedience. Here's what the passage from Leviticus says:

"And the swine, though he divide the hoof, and be clovenfooted, yet he cheweth not the cud; he is unclean to you. Of their flesh shall ye not eat, and their carcase shall ye not touch; they are unclean to you. These shall ye eat of all that are in the waters: whatsoever hath fins and scales in the waters, in the seas, and in the rivers, them shall ye eat. And all that have not fins and scales in the seas, and in the rivers, of all that move in the waters, and of any living thing which is in the waters, they shall be an abomination unto you: They shall be even an abomination unto you; ye shall not eat of their flesh, but ye shall have their carcases in abomination. Whatsoever hath no fins nor scales in the waters, that shall be an abomination unto you." (Leviticus 11:7-12)

From pigs we get pork, pork chops, ribs, ham, bacon, pepperoni, sausage, Chitterlings (chitlins), and other by-products. Let's examine a few of the reasons why God considered a pig an unclean animal and why He said they shouldn't be eaten.

Pigs are scavengers. They are notorious for eating anything, including their own waste and garbage. A pig will eat sick and infected animals, including its own piglets that die from disease. Pigs also have one the quickest, yet poorest digestive systems of any animal. On average a pig can completely digest its food in four hours. Since it processes everything so fast, many times the toxins aren't removed and they are stored in the pig's fat. Many pigs are traumatized physically before being slaughtered. Under these conditions, which are generally the case in large factory operations, pigs will release toxins and hormones into their muscles that affect the quality of their meat.

Pigs are also notorious for being infected with parasites and tapeworms because they roll around in poop most of their lives. Anyone that knows anything about cooking pork knows that it is important to cook it long enough and warm enough to make sure all the parasites and tapeworms have been killed off. If not, you could become infected.

Somehow eating pork containing cooked, dead parasites doesn't sound much better either. All parasites lay eggs to create more parasites. Just because a parasite dies during cooking doesn't mean that you can't become contaminated by the eggs. Some health experts believe that over 90 percent of our population today has parasites in their body that reside primarily in the intestinal system. Certainly our society's desire for pork products has played a major factor in this. People that consume pork products all the time tend to be overweight and unhealthy. Body odor is usually a problem too.

A doctor that I know personally says that pig fat is the best medium there is for cancer growth. He runs a high-tech laboratory where all sorts of microbiological research and tests are conducted. Their lab puts a lot of emphasis on diagnosing and treating cancer naturally. They actually have the ability to isolate cancer viruses from a patient's blood and view them under a microscope to determine the strain and then develop herbs to help rid the body of that specific virus. They also have the ability to replicate the cancer virus in a Petri dish. What he told me is that the best medium he works with for growing cancer viruses is pig fat.

If they can do that in a lab, what's all the pig fat doing to your body internally if you're eating high amounts of pork products regularly? It would be interesting to see a study where that question was asked of cancer patients. My guess is we would find that many cancer patients and people with poor health are pork eaters.

Did you know that all of the clean animals God said we could eat live only on vegetation? They also digest their food much slower and more effectively so they aren't storing all these toxins and wastes in their body. Would you rather eat an animal that eats filth and waste and is potentially contaminated with parasites or would you rather eat an animal that processes its food properly and eliminates the toxins from its body?

Don't Gamble Your Health On Shellfish Either

Now let's examine why you should avoid shellfish. Shellfish consists of lobster, shrimp, oysters, clams, crabs, scallops, and mussels. All shellfish can be a serious health risk. Like pigs, they are scavengers that live at the bottom of the ocean and eat the waste of other animals and the pollutants that man dumps into the ocean. Although only 0.1 % of all shellfish consumed is eaten raw, that tiny percentage is responsible for a large proportion of reported food-caused illnesses. Poisoning from shellfish can come from bacterial or viral contamination. Generally adequate cooking eliminates this danger, but is it worth the risks in the long run. Poisoning can also arise from heat-stable toxins derived from the food that the shellfish have been eating. Shellfish are notorious for being high in mercury, heavy metals, and industrial contaminants in the environment because they're bottom feeders that eat the ocean's waste. I'm sure I don't have to explain in detail how damaging these heavy metals and toxins can be to your health.

God didn't give the Israelites dietary laws because he was a mean, restrictive God that didn't want them to enjoy their food. He gave them these laws because He knew best how the human body functions and that by following His dietary laws they would live their best without succumbing to disease and pre-mature death so they can serve Him. God knows far more than we can understand or comprehend. While things definitely changed after Jesus came to the earth, we should examine the Old Testament scriptures further to try and understand why God wanted things done a certain way, especially with the foods we eat.

© 2007 Greg Ciola - All Rights Reserved
 
Ukishamalia kuelewa haya ya nguruwe na madhara yake, kisha waweza weka mada ya nyama unazozitaka, kama ngamia, mbuzi ng'ombe samaki au sungura nk....! Wacha tumalize hii kwanza... sawa kijana!

Nimekuelewa kaka, nilitaka kukumbusha tu kuwa reference zako ulizotumia kujustify hoja yako hazikuwa sahihi sana ila zilikufaa kwa ajili ya maslahi binafsi na ndo maana nikaibeua.
 
Back
Top Bottom