Madhara ya Kukandamiza NGONO........!

thread ndefu sana ia somo lipo na niukweli kabisa, kwa wavivu wa kusoma soma aya hata 5 kwa siku icopy na uitegenezee file ili uwe unasoma taratibu ushauri wa bure.
 
mchunguzi naona leo umekuja na style mpya hii kali inangusa jamii ila kwa kifupi wasifikirie kuhalalisha ngono kwa sababu ya kubaka maana kila jambo lina wakati wake. wnafunzi nawashauri wasiinge ulichoandika nje ya hapo mimba zitaongezeka zaidi haswa wa dada zetu maana wao wakionja huwa wanazma zaidi kwenye love zaidi ya wanaume.
 
mi siungi hoja mkono wala mguu,hapa unaniibia chenji yaani nigawe kama njugu kisa nimepata hamu hii mambo ukiendekeza inakuwa hatari waweza jikuta inakua dozi asubuhi,mchana,jioni na usiku yanini kuweka mwili wangu sipana mweh ushindwe kabisa.

Wewe hujasoma au hujaelewa, na ndio saabu umekurupuka kutoa comments tu

Hebu somatena kwa makini
 
mkuu mi nilikutana na mkandamizo sana wakati mama yenu yuko kwenye malezi... nilikuwa nikimuota tu nakuta tayari nishaharibu afadhali sasa hali imeanza kutengamaa

Mkuu point zako hapo juu nimezikubali kuna haja ya kuzifanyia kazi hasa kwa hawa watoto wetu... ili kuepuka hayo madhara
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom