Madhara ya kubeti mke yanga wakishinda badala yake simba walishinda.je nn kilifuatia?

Numbisa

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
278,618
1,128,582
Huyu jamaa na rafiki yake walibeti kuchukuliana mke ikiwa moja kati ya timu wanazoshabikia itashinda,mashahidi wake zao.
16789359_1859392810966884_6335267423788204032_n.jpg

Unaweza kuta kelvin yombo alimtaman shemeji yake kwa kipindi kirefu jana kajichukulia kilainiii
16908373_386409695066122_7697808307674677248_n.jpg

BET ZINAENDELEA,MECHI YA JANA BANA
16906588_375086449556768_1639056951486709760_n.jpg

16908860_178502815984836_62074238911119360_n.jpg
 
Huwezi kuweka mke kwenye maswala ya mpira . Hao Jamaa walikuwa wamewachoka wake zao wanatafuta kisingizio cha kutafuta magoma mengine. Wao wanawake walivyo vilaza na wao wakasign wabebwe
 
Ushabiki wa kijinga sana huu wa kubetiana wake. Kawaida huwa fedha, mali nk. sio mke bwana.Ajabu na hao wake wakakubali!
Kuna shabiki mmoja wa yanga nilimwona kwenye tv akilia kwa uchungu kwamba atapoteza sh 50,000 alizopinga na mwenzake!
 
Mmeo akikubet utakubali kwendaa kutoa papuchi?
 
Kuna ndoa ndoano ukute hao couple walikua wanatamaniana au wanatoka kisiri siri,mitaan kuna mengi.
Ushabiki wa kijinga sana huu wa kubetiana wake. Kawaida huwa fedha, mali nk. sio mke bwana.Ajabu na hao wake wakakubali!
Kuna shabiki mmoja wa yanga nilimwona kwenye tv akilia kwa uchungu kwamba atapoteza sh 50,000 alizopinga na mwenzake!

Huwezi kuweka mke kwenye maswala ya mpira . Hao Jamaa walikuwa wamewachoka wake zao wanatafuta kisingizio cha kutafuta magoma mengine. Wao wanawake walivyo vilaza na wao wakasign wabebwe
Kuna wanawake akili zao wanazijua wenyewe,ukute mke wa aliyeshindwa akajipeleka mwenyewe kwa aliyeshinda kiutan utan
Hio sio kweli bwana.. Huoni wake zao wamesaini hapo?
Mke gani atasaini upumbavu
 
Bila uzoefu wowote lakini ukiangalia kwa makini utajua tu kuwa hizo saini zote zimepigwa kwa mkono mmoja.
 
Ukiangalia herufi J kwenye sahihi zote zinafanana. Hii inamaana hiyo agreement imeandaliwa na kusainiwa na mtu mmoja.
 
Huwezi kuweka mke kwenye maswala ya mpira . Hao Jamaa walikuwa wamewachoka wake zao wanatafuta kisingizio cha kutafuta magoma mengine. Wao wanawake walivyo vilaza na wao wakasign wabebwe
Hii kama wakumbuka kauli ya Ballotel ...kuhusu uefa..Ac milan 2: barca 0

ballotel aliahidi kuwapa demu wake bure kama barca wangewatoa kwenye hatua inayofuata...kilichotokea barca alimfua ac milan 4:0

Jaman mambo ya mpira tusiwe tunaweka wake zetu
 
Hatari

Ngoja nkasuke mkeka
Nijue vla ntaimaliza
weekend

Hawa wakubetiana wake
Meisho wa sku watabetiana
Na chululuu zao
 
sasa bwana Joseph mbona kila kitu ufanye wewe kuandika pamoja na kusaini....

Tazama J pamoja na Y kwenye maandishi na sahihi
4ee7f8cc439705b157f8b4a531ebb8c3.jpg
b6859a6154fd80fdff05cdf71bcb9f03.jpg
4fa7aa3c48100923acc933b8a7b75ab3.jpg
461ce25d19cc733671bc88a2a3801f15.jpg
5e136c2fbb3d18bc0d190e4960a9f3b1.jpg
 
Back
Top Bottom